Daktari wa uzazi kamchezea mke wangu!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Wana jamvi kuna hili jambo limenifika, nikaona bora nililete hapa nipate busara zenu.Juzi nilimpeleka mke wangu hospital, wakati yuko ndani na daktari(male) alikaa muda mrefu sana. Sasa wakati tuko njiani nikamuuliza kwa nini kachelewa sana, akanijibu kuwa daktari ana tabia mbaya, nikamuuliza kafanya nini? Akaniambia ni kawaida daktari wa uzazi kumshika mgonjwa viungo vya uzazi kwa ajili ya checking. Lakini jinsi huyu daktari alivyokuwa anamshika alikuwa ana lake jambo. Kwa sababu alimshika matiti kwa namna ya kumtomasa tomasa, akawa anamuingiza vidole ukeni,baada ya muda anarudia rudia kisha anajifanya kama anaandika details.Sasa wana JF nilikuwa nauliza hivi ni kawaida kwa daktari wa uzazi kufanya hivi vitendo?? Naombeni mnipe jibu na ushauri kabla sijaenda kumchukulia RB na hatua zaidi
 
we bana ...sasa keo kashikwa ukeni katilia tu anashikwa titi anarembua jicho..ushauri gani unataka..mlete huku vikindu tumtibu kwa miti shamba maana hatuhitaji kutomasa
 
Aaaagh Boflo..story zilezile za JF iliyopita..
Anyway huyo mkeo ameshazoea hako kamchezo ka huyo Dokta, na hapo kasema tu kwa kuwa kaulizwa,
we hushangai wakati anapewa hayo mahaba mbona hakuweka pingamizi lolote, tena ukute na kiuno alianza kukizungusha.,
Zinduka uchukue hatua Boflo
 
asante kwa kunizundua mbongotz
 
Kama aliingiza vidole hakuna shida ila kama ni kidole hapo kuna walakini, pia inaonyesha huyo unaye sema ni mkeo amezoea ako kamchezo iweje asikuambie kabla ya kumuuliza? Achana na huyo Dr. Mwamishie mkeo hospitali nyingine.
 
Ah ticha maria roza, nafarijika kukuona upya! wikiendi hiyooo, tupe mambo yetu yalee
 
Cha kushangaza mbona hakukuambia kabla ya kumuuliza hilo swali la kuchelewa.. ALIFURAHI KWA HILO DOLE LA GYNECOLOGIST
 
Huyo daktari huwezi kumfanya kitu ndugu yangu!...Atakwambia kwamba alikuwa anamfanyia observation, na huwezi kuhoji!...Ishu ni kwamba kama mkeo alikuwa kimya na anafaidi, basi usitegemee atakwambia ukweli wowote!
 
inategemea na mkeo alikua na tatizo gani maana kama shida ni kwenye kizazi hasa incase ni mjamwepesi basi ni lazima dr aangalie sehemu hizo na wakati mwingine kupitisha vidole. lakini kama mama aliona imezidi kawaida ya upimaji si angemuuliza dr maana kukakaa kimya it means anamruhusu aendelee na shughuli hiyo!
 
Kwani wewe ulitaka aonwe na daktari wa one minute? Mkeo keshasema ni kawaida ya madaktari hao kumshikashika, sasa kipya ni kule kurudia na kuandika details ndio kosa? Yule ni daktari makini hakutaka kuacha kitu bila kukichunguza. Labda sema daktari hakumwambia mteja wake nini anatafuta na atatafutaje. Mkeo angemuuliza angeambiwa. Anazuga kwako aonekane kuwa ni mwaminifu, hamna lolote ni mwingi sana huyo. Wapo wanawake wengine wanaokwena kumwona daktari kwa ajili ya kushikwashikwa, kwa sababu washikaji wao hawawashiki vile wanavyotaka. Madaktari hukutana na majaribu mengi kama ya mwanamke huyo. Nakumbuka mdada mmoja aliyefika hospitali moja (siitaji) akilia sana utadhani ana Acute lower abdominal pain, kule kuchunguzwa kwa superficial body survey ilikuwa dawa tosha ya kumgeuza afurahi. Vipimo vikaonyesha safi vyote. Joni wakati wa matembezi mitaani akaonekana bila matarajio akiwaeleza wenzake kwa kunyosha vidole akidai hajawahi kumwona daktari makini anayepima vizuri kama yule, alikuwa mzima akapona bila hata dawa.

Longolongo nyiiiingi!
 
Wana jamvi kuna hili jambo limenifika, nikaona bora nililete hapa nipate busara zenu.Juzi nilimpeleka mke wangu hospital, wakati yuko ndani na daktari(male) alikaa muda mrefu sana. Sasa wakati tuko njiani nikamuuliza kwa nini kachelewa sana, akanijibu kuwa daktari ana tabia mbaya, nikamuuliza kafanya nini? Akaniambia ni kawaida daktari wa uzazi kumshika mgonjwa viungo vya uzazi kwa ajili ya checking. Lakini jinsi huyu daktari alivyokuwa anamshika alikuwa ana lake jambo. Kwa sababu alimshika matiti kwa namna ya kumtomasa tomasa, akawa anamuingiza vidole ukeni,baada ya muda anarudia rudia kisha anajifanya kama anaandika details.Sasa wana JF nilikuwa nauliza hivi ni kawaida kwa daktari wa uzazi kufanya hivi vitendo?? Naombeni mnipe jibu na ushauri kabla sijaenda kumchukulia RB na hatua zaidi

mkuu huyo mkeo kazoea hako kamchezo mana kama alijua anachofanya huyo dr sio kwann akae kmya wakati anajua upo nje ukimbana vizuri atakweleza walichofanya kwani hiyo ni trela tu picha kamili ajakweleza
 
Bwabwa unafurahisha mkeo anatafuta faraja kwa DR mbona alikuwa hajakwambia mpaka ulipouliza kwa nini kachelewa
 
Huyo daktari huwezi kumfanya kitu ndugu yangu!...Atakwambia kwamba alikuwa anamfanyia observation, na huwezi kuhoji!...Ishu ni kwamba kama mkeo alikuwa kimya na anafaidi, basi usitegemee atakwambia ukweli wowote!

PJ na pia atamwambia kushika maziwa alikuwa anacheki Saratani ya maziwa ..sehemu nyeti alikuwa anaangalia kizazi kama kimekaa sawa kumbe wife ana-enjoy;)
 
Wana jamvi kuna hili jambo limenifika, nikaona bora nililete hapa nipate busara zenu.Juzi nilimpeleka mke wangu hospital, wakati yuko ndani na daktari(male) alikaa muda mrefu sana. Sasa wakati tuko njiani nikamuuliza kwa nini kachelewa sana, akanijibu kuwa daktari ana tabia mbaya, nikamuuliza kafanya nini? Akaniambia ni kawaida daktari wa uzazi kumshika mgonjwa viungo vya uzazi kwa ajili ya checking. Lakini jinsi huyu daktari alivyokuwa anamshika alikuwa ana lake jambo. Kwa sababu alimshika matiti kwa namna ya kumtomasa tomasa, akawa anamuingiza vidole ukeni,baada ya muda anarudia rudia kisha anajifanya kama anaandika details.Sasa wana JF nilikuwa nauliza hivi ni kawaida kwa daktari wa uzazi kufanya hivi vitendo?? Naombeni mnipe jibu na ushauri kabla sijaenda kumchukulia RB na hatua zaidi

Siku hizi unaruhusiwa kuingia na mke wako kwa Dokta. Kwanini ulibaki nje? Au alikuambia usiingie? Au unaona aibu kuingia na mkeo kwa Dokta? Au huna upendo naye kihivyo? Au unamwogopa Dokta?
 
we bwabwa tulia bana,mkeo we umemshindwa unawaachia wanaume wakusaidie,usilie lie hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom