Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

Poleni sana baadhi ya watu kutowajibika waitia doa serikali,
Kuna hospitali ya wilaya moja sitaitaji ni kwamba wagonjwa wanakwepa ile hospitali wanaenda kituo cha afya
Imagine mtu anakataa kwenda wilayani anaenda kituo cha afya

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
poleni jamani, ndio nchi zetu hizi. zinaboa sana, ila tuvumiliane tu hivyo hivyo tutafika
 
Mtaje jina hapa huyo Mpumbavu

Hafai hata kuitwa Daktari

Hana Maadili
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Fani ya afya nayo imevamiwa na watendaji wa ovyo kabisa. Wanatuchafulia sifa.
 
Ni kweli kabisa.
Kuanzia vile vidada vyenye sura ngumu pale mapokezi mpaka madaktari ni kufanya kazi kwa kujuana tu.

Nilimpeleka mwanangu pale wiki mbili zilizopita nimekaa reception lisaa lizima ikabidi niende kuomba kadi ya bima ya mtoto nikaondoka zangu.

Utashangaa tu kuona wanakuja watu wengine washapigiana simu na daktari wanaingia moja kwa moja chumba cha daktari.

Hopeless kabisa.

Acha tu Mkuu.
 
Waziri ameshatamka,ruksa kufanya kazi zao binafsi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom