Daktari wa Moshi Healthy Centre ni ovyo kabisa

Lessor

Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
41
Reaction score
27
MOSHI HEALTHY CENTRE

Daktari wa Jioni ya leo tarehe 04th September 2023 ni ovyo kabisa.

Wagonjwa tumekaa masaa mawili nje tunasubiria kumuona; yeye yuko busy na marafiki zake wanapiga soga Ofisini.

Kisha ukimuendea, anamuita mgonjwa wake ambaye wana appointment binafsi.

Nimeshuhudia wagonjwa zaidi ya watano wakiondoka kwa kuchoka kusubiria.

SHAME UPON YOU!
 
Ni kweli kabisa.
Kuanzia vile vidada vyenye sura ngumu pale mapokezi mpaka madaktari ni kufanya kazi kwa kujuana tu.

Nilimpeleka mwanangu pale wiki mbili zilizopita nimekaa reception lisaa lizima ikabidi niende kuomba kadi ya bima ya mtoto nikaondoka zangu.

Utashangaa tu kuona wanakuja watu wengine washapigiana simu na daktari wanaingia moja kwa moja chumba cha daktari.

Hopeless kabisa.
 
Ni Tabia za kutokupenda kazi.

Vijana wakiwa jobless utaona wana Hamu sana ya kazi ila wakishaipata wanalemaa
 
Daktari wa hivyo siwezi hata kuamini kuwa ni daktari mzuri hivyo siwezi peleka mgonjwa hapo.
Daktari yeyote mzuri anakerwa na foleni ya wagonjwa maana ana wito wa kuona watu wanapata unafuu na tiba.

Nashangaa kwanini mnaenda kwenye hiyo hospitali.
 
MOSHI HEALTHY CENTRE

Daktari wa Jioni ya leo tarehe 04th September 2023 ni ovyo kabisa.

Wagonjwa tumekaa masaa mawili nje tunasubiria kumuona; yeye yuko busy na marafiki zake wanapiga soga Ofisini.

Kisha ukimuendea, anamuita mgonjwa wake ambaye wana appointment binafsi.

Nimeshuhudia wagonjwa zaidi ya watano wakiondoka kwa kuchoka kusubiria.

SHAME UPON YOU!
Tandikeni makofi
 
Hicho kituo kinamilikiwa na nani?
Hao ndio wale madaktari na wauguzi wa cheap labor?
Mtu ana D 2 unadhani utendaji wake wa kazi utakuwaje?
 
Hebu nielekeze vizuri ilipo hiyo hospitali
MOSHI HEALTHY CENTRE

Daktari wa Jioni ya leo tarehe 04th September 2023 ni ovyo kabisa.

Wagonjwa tumekaa masaa mawili nje tunasubiria kumuona; yeye yuko busy na marafiki zake wanapiga soga Ofisini.

Kisha ukimuendea, anamuita mgonjwa wake ambaye wana appointment binafsi.

Nimeshuhudia wagonjwa zaidi ya watano wakiondoka kwa kuchoka kusubiria.

SHAME UPON YOU!
 
Kwa Mkoa wa Kilimanjaro Moja ya Health Centre waliojipanga nawakubali ni Faraja Health Centre wapo Himo au jina lingine kwa Dr Minja.
Nawapa maua yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom