Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,045
huyo Dr Omar Ubuguyu hizo data amezitengenezea chumbani kwake. Tanzania haiko hata katika top twenty ya nchi zinjazokunywa bia kwa wingi africa."Kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika,"- Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza @wizara_afyatz
#EastAfricaTV
#WizaraYaAfya