Daktari: Tanzania inaongoza kwa unywaji pombe Afrika. Kwa mwaka kila Mtanzania anakunywa ndoo ndogo

Yawezekana mimi sio Mtanzania aieee
Hapana, wewe ni Mtanzania asiyetumia pombe. Hiyo idadi ya nusu ndoo ni wastani wa pombe ambayo hunywewa kwa mwaka kwa kuchukua pombe yote iliyonywewa kwa mwaka na kuigawanya kwa idadi ya watu wote waliopo nchini. Kwa hali hiyo basi kuna watu hawanywi kabisa na wengine hunywa kiasi cha pipa moja au zaidi kwa mwaka!
 
"Kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika,"- Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza @wizara_afyatz

#EastAfricaTV
#WizaraYaAfya
Utafiti wa kitoto na kijinga, mtu anapiga simu kampuni za kuzalisha pombe halafu anagawia kila mtanzania eti anaita utafiti.
Pombe za kienyeji hakuna record kwamba walizalisha lita ngapi na wala hawakuwauliza.
 
Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.

View: https://www.instagram.com/p/CxLnDERqco0/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take:
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani, duu.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1697592548825436655?t=GX9Td4cB57EdXXp4_D4F3A&s=19

Hii list bila Kenya ni takataka
 
Kila mtazania anakunywa ndoo ndogo ina maana wasabato,waislam,walokole wote wanapiga maji, awaombe radhi hayo makundi,maana amewatusi .
 
Back
Top Bottom