Kuna watu wawili Wa kwanza kila siku jioni lazima apige kakonyagi kadogo, almaarufu kasichana.Ni utaratibu wake tu Kabla ya kulala akiamua sometimes labda achambe koo na vi lite viwili kisha nduki home anaanza saa 2 anaondoka bar saa 4 daily
Wa pili yeye Jumatatu mpaka Alhamisi hasogelei pombe...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
Naomba kujua unywaji pombe salama na bora kiafya ni kiwango gani kwa siku?
Bia ni kiasi gani na pombe kali konyagi au K.VANY ni kiasi gani? Wadau naomba kujuzwa kiwango sahihi kwa siku.
Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.