Daktari: Tanzania inaongoza kwa unywaji pombe Afrika. Kwa mwaka kila Mtanzania anakunywa ndoo ndogo

Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.

---

My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.

Siamini, ni ndoo 10.
 
Lita 10 ya kidoo kidogo × idadi ya watanzania (sijui milioni ngapi kwa sasa) = lita zinazonyweka kwa mwaka.

Lakini hapo wanywa gongo, mnazi,chimpumu, mataputapu, chang'aa, wanzuki etc.. hawajawekewa kwenye mahesabu.
Kama chupa 3 ni sawa na litre 1 kuna ambao wanakalisha crate kwa siku moja ina maana ndani ya week tu watu wanakuwa washakunywa kindoo kimoja na chenchi.
 
A likely trend based on available data on Tax Collection !!! 👇👇👇👇👇
 
Attachments

  • KODI.jpg
    KODI.jpg
    117.5 KB · Views: 1
My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.
Kwenye Article ya WHO inasema Africa ni ya nne baada ya Europe; America na West Pacific..., sasa hapo conclusion zako zinatwambia nini on the large scale ? Kwamba Europe na America wana mambo ya ajabu ?
 
Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.

---

My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.
hizo ni pombe za kizungu,,,wakija kwa za kienyeji watakuta kila mTZ anakunywa mapipa kumi....lakini na wasiwasi kama tumewazidi ZAMBIA!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.

---

My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.
Pombe na bangi kwa asilimia kubwa hutumika kama kigezo tu cha hao watu kufanya matukio yao ya ajabu ambayo ni dhamira yao ya kweli.
 
"Kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika,"- Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza @wizara_afyatz

#EastAfricaTV
#WizaraYaAfya
 
Attachments

  • FB_IMG_1694688228690.jpg
    FB_IMG_1694688228690.jpg
    51.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom