sijajua kama unao uzoefu wa mahakama au unatumia uzoefu wa kwenye magazeti ya udaku. unataka kumaanisha kuwa ushahidi wa daktari anayejaza pf3 ndio ulioshikilia kesi yote?hahaha, what about ushahidi wa government chemisty/mkemia mkuu kuhusu DNA na ushahidi wa daktari ukawa haujaletwa, what if ushahidi wa picha au video clip ukiwepo na ushahidi wa doctor kwa pf3 ukaachwa kuletwa, what if mashahidi waliomkuta kwa macho kama wangekuwepo wakaja kuthibitisha, ukaunganisha na circumstantial evidence lakini ushahidi wa doctor ukawa haujaletwa, utasema hiyo kesi haijawa proved beyond reasonable doubt? na ni kwanini case laws zilishasema ushahidi wa expert sio conclusive ni persuasive tu?yaani sio binding.huwezi kuthibitisha kesi bila jamhuri kuwa na ushahidi wa daktari. hata kama state attorney angeona ni lazima dr. angeturn hostile kwa nature ya kesi na inavyoattract public interest lazima state attorney asingekuwa na ujanja
fununu gani nimeongelea hapo? kama unaongelea kuhusu iyo DNA kama ndio fununu, how do you know (we hunijui) kama pengine nilishaliona hilo jalada au hiyo repodrt ya mkemia? after all, hapa hatupo mahakamani na tunaongea sio na wanasheria tu na laymen pia hivyo nikisema fununu kuna jambo zito limejificha ndani na kama hawatacorrupt i am telling you jamaa anapigwa 30.
wewe vipi kwa upande wako, mbona hata facts haujawahi kuongea wala fununu tu haujawahi?hahahah. na kama wewe utakuwa lawyer na unaiamini pf3 kama ndio inaweza base ya defence yako basi ulisomea chini ya mti au ulisoma online studies. and i am sure, kama kweli doctor katoa ushahidi kama huo, basi alikuwa hostile kwa prosecution na prosecution walimwacha aseme hivyo ili kumuokoa mbasha labda kwasababu ameshawacorrupt au labda kuna amri imetoka huko juu kuagiza mbasha asaidiwe ndio maana prosecutor hajamdeclare hostile doctor, au labda prosecutor hana uzoefu? No, namjua Nassoro Katuga ni mzoefu tu, sasa sijui alipitiwa au ilikuwaje.
yap. doctor anasema hivyo, hakuona dalili yeyote kuwa aliingiliwa kimwili,nyuchi ya demu ilipembuliwa ikaonekana haijagongwa...labda demu alikuwa amekubuhu hivyo hata akifanywa haiwezi kuonyesha. mwanamke akibakwa anatakiwa asioge aende hospitali achunguzwe kama kuna mikwaruzo kwenye mashine, kama kuna shahawa zozote, kama kuna dalili yeyote inayoonyesha ametoka kupigwa miti etc. however, ktk kubaka sio lazima ufanye mapenzi kabisa, ile kuingiza hata kichwa tu maadam kuna ushahidi kuwa uliingiza hata kama labda katika purukushani ikachomoka bila wewe kupiga juu chini chuu chini chubwiichubwiiii inatosha kubaka.
lakini vilevile, neno kubaka kisheria lipo aina mbili, kwanza kabisa kubaka kwa kawaida na kubaka kisheria (statutory rape). statutory rape ni pale mtu anapomgonga msichana chini ya miaka 18 hata kama alikubaliana naye. maadamu upo ushahidi wa kumwingilia tu inatosha.
katika suala la mbasha, huyo doctor alikuja kutoa ushahidi wa pf3 tu. kumbuka ilishaenda kupimwa hata DNA. yaani kwenye uchii wa uyo binti majimaji yalichukuliwa na kupimwa dna, ikionekana vinasaba vya DNA vya damu ya mbasha vimepatikana kwenye uchi wa uyo demu, itabidi sasa mbasha aieleze mahakama vinasaba hivyo vilifikaje hapo. kwahiyo doctor wa pf3 ametoa ushahidi, sio binding kisheria, lakini kuna bomu moja kubwa sana kama kweli lipo, hilo la DNA (ambalo kwa fununu nilizokuwa nimezipata inaonekana DNA ilitiki sasa sijui kama watacorrupt kumwokoa), mkemia mkuu wa serikali akija kuitolea ushahidi hiyo, vilio vya kisukuma vitakikika pale mahakamani na hizo story zenu zote zitaisha.
wewe ni poyoyo hujui kitu masikini weee, yaani hujui kitu kabisa. mbona wewe hujawahi kucomment chochote na unadandia tu hoja. unajua chochote walau? utaleta facts zipi wakati wewe hata hiyo pf3 haujaiona wala DNA report haujaiona? au wewe umeiona?Nakuona ni bush lawyer.
Lakini nilichosema hapo juu ni kwamba,hapa jukwaani ziletwe facts na si tetesi na report za "nimesikia".
aliyekuambia ushahidi wa daktari unazingatiwa sana kwenye kesi za kubaka ni nani? unatakiwa kujua kuanzia leo kuwa expert opinion is not binding, kama kuna ushahidi mwingine mzito kuliko huo wakauleta hata hicho alichoongea doctor kinapigwa chini tu. au nikuwekee case law hapa uone?
duh sasa itakuaje?
ndugu yangu, nilishawahi kudeal na hivi vitu sana, hao polisi achana nao kabisa. hata madoctor. its very easy to temper with pf3 kwasababu ni form tu ambayo unaweza kuipata polisi any time, ukaongea na mwendesha mashitaka na polisi, ukampa doctor pesa akajaza upya, mambo yameisha. ndivyo wanavyofanya.Una maanisha kesi ya Doris Liundi, ila kwa kesi hii ushahidi wa daktari una nguvu nimeifuatilia sana. Hukuna mazingira ya kukataa hii expert opinion
Mara nyingi naona unapenda ongelea fununu. Huyo daktari mpaka sasa kaongea facts,tena mbele ya mahakama.Lini nawe utaongea facts?
Flora mbasha Na g'wajima wake wameumbuka jamani wazomeeni
Flora anaumbuka mchana kweupe
Alikuwa wapi muda wote huyu daktari? Huu ndio muda wa shetani kufanya kazi.
tufanye mbasha kashinda kesi ya ubakaji..labda kweli hakumbaka..ila hata kama walifanya kwa maridhiano zen badae msichana ndo akamgeuka..still dhambi ya usaliti haikwepeki..ukisikiliza ile audio ya mazungumzo ya simu kati ya mbasha na huyo binti(anayesadikiwa kubakwa) utaona kuna tatizo tu sumwhere
hiyo hapo mkuuKama unayo tupia mkuu, au mwenye nayo atume tafadhali
Kuna research moja ninafanya inahusiana na prevention ya HIV watu kama hao ambao hawajafikisha age ya 18 lakini wanapelekewa moto wanaitwa MATURE MINOR. Yaani tukikutana nae tunamheshimu kama adult maana anapelekewa moto vizuri mno na kitu wala haki scratch....kinaenda smoothly.....