Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

una uhakika walifanya kwa maridhiano? Usiongee kitu Kama huna uhakika.

ali mkamua kihalali kabisa

Tuwekee hiyo video ndugu wengine hatujaisikia
kubaka katika sheria, kuna kubaka kwa kawaida, na kuna kubaka kisheria. kubaka kisheria ni pale unapofanya mapenzi na binti miaka chini ya 18 hata kama amekubali, kisheria ni kubaka. pona ya mbasha hapo ni kama binti atakuwa na miaka 18 au zaidi, kama alikuwa chini, na kuna audio ile anaomba msamaha kwa huyo binti kwamba wayamalize tu na anakiri kwamba alimkosea/alimlala zaidi ya mara moja, miaka 30 iko palepale. hivyo kubaka kwa hawa wasichana wadogo sio lazima uwe umekaba na kulazimisha, hata kama alijilengesha mwenyewe kama yuko chini ya umri, unakwenda na maji.
 
Kazi imeisha hapa,binti asubiri kesi ya kudhalilisha na false accusation.
 
Ha ha ha ha ha inabidi utoe darasa unajua kuna watu hawapendi kufikiri hata kidogo ukiwafikirisha watasema unawanyanyapaa.

alikua wap kivip c kazin kwake kila cku? ameongea leo kwan ndio sehem muafaka alipotakiwa aongee ulitaka aende kweny magazeti na media kutoa taarifa za kitabibu? udaktari ni taaluma inayofuata miiko sio kutoa taarifa za wagonjwa wako ovyo ni kinyume cha sheria! sasa shetan ana uhusinao gan apa? yeye ametoa taarifa za kitaalam

toka mwanzo nilipata wasiwasi na issue ya uyu dada kubakwa, wewe utabakwa vp mara mbili eti ya tatu ndio unasema kwa nn hakusema the first time?
 
Mbasha:
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Isaya[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]41[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]10[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kubaka katika sheria, kuna kubaka kwa kawaida, na kuna kubaka kisheria. kubaka kisheria ni pale unapofanya mapenzi na binti miaka chini ya 18 hata kama amekubali, kisheria ni kubaka. pona ya mbasha hapo ni kama binti atakuwa na miaka 18 au zaidi, kama alikuwa chini, na kuna audio ile anaomba msamaha kwa huyo binti kwamba wayamalize tu na anakiri kwamba alimkosea/alimlala zaidi ya mara moja, miaka 30 iko palepale. hivyo kubaka kwa hawa wasichana wadogo sio lazima uwe umekaba na kulazimisha, hata kama alijilengesha mwenyewe kama yuko chini ya umri, unakwenda na maji.

Kuna research moja ninafanya inahusiana na prevention ya HIV watu kama hao ambao hawajafikisha age ya 18 lakini wanapelekewa moto wanaitwa MATURE MINOR. Yaani tukikutana nae tunamheshimu kama adult maana anapelekewa moto vizuri mno na kitu wala haki scratch....kinaenda smoothly.....
 
una uhakika walifanya kwa maridhiano? Usiongee kitu Kama huna uhakika.

Mkuu unataka uwe shemeji wa flora nini?? Mbona kama umemind hiviiiìi😜😜😜😜😜😜😜😜😜
 
Angalia wewe watakwambia umembaka flora sasa. 😂😂😂😜😜😜
 
watu wanaumbuka! nimejifunza kwamba hata siku moja usimtukane Pengo...lol
 
Kuna research moja ninafanya inahusiana na prevention ya HIV watu kama hao ambao hawajafikisha age ya 18 lakini wanapelekewa moto wanaitwa MATURE MINOR. Yaani tukikutana nae tunamheshimu kama adult maana anapelekewa moto vizuri mno na kitu wala haki scratch....kinaenda smoothly.....
hilo nalo jambo la kufanya research? kwani wewe ulianza lini kupelekea moto? wenzio tukiwa na miaka 14 tulikuwa tunapelekea moto wasichana wenye 12 na 13. hawa wasichana unaowaona wanaenda shule form one two etc huko walimu wanawapelekea moto vizuri tu sio mabikira, na mwingine unaweza kukuta k imepanuka kuliko hata aliyezaa. tatizo hapa sio kama kitu kinaingia smooth au la, au whether ni mature minor au la, cha muhimu ni kwamba amefikia 18?, kama sio umekwisha. na kwa taarifa yako kati ya wanawake wanaopelekea moto zaidi ni 17 to 25. mbasha yule demu alishamlamba pale morocco kwenye gari, na home kagonga mara kadhaa tu. yeye mwenyewe analijua hili, na walikuwa wanakubaliana ila shemeji alikuja kumruka baada ya kubambwa na sista (flora) kujisafisha akamwaga ugali. hapa sasa hata kama walikuwa wanakubaliana kupelekeana moto na binti alikuwa anapenda, kama ni under age according to law mbasha amekwenda na maji.
 
Alisema hata hivyo binti huyo hakupima kipimo hicho badala yake alirudishwa nyumbani.
“Alirudishwa hospitalini siku nane baadaye, yaani Juni 3, mwaka jana na nilipomfanyia kipimo hicho sikuona chochote, nikawajazia katika PF3 kile nilichokiona,

Hapa baada ya siku nane sijaelewa ..wale wenye taaluma ya utabibu nijuze..kwann kipimo hakikufanyika kwa siku ya kwanza.
 
Flora ni kahaba hatari,ni malkia wa kuzimu kabisa.MUNGU atamlipia Mbasha.
 
Back
Top Bottom