Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
ndugu yangu, nilishawahi kudeal na hivi vitu sana, hao polisi achana nao kabisa. hata madoctor. its very easy to temper with pf3 kwasababu ni form tu ambayo unaweza kuipata polisi any time, ukaongea na mwendesha mashitaka na polisi, ukampa doctor pesa akajaza upya, mambo yameisha. ndivyo wanavyofanya.
sasa kama kweli doctor alisema hivyo, namwendesha mashitaka alimuandaa doctor kabla ya kuingia, akapeleka ushahidi kama huo ili ukaunge mkono kesi yake, unafikiri hapo mwendesha mashitaka hana mkono?hahaha, lazima jamaa ameonwa au ameamriwa amsaidie jamaa. na alipoleta huo ushahidi hostile kwa kesi ya prosecution, prosecutor hakumdeclare hostile.
jaribu kufikiri, kama prosecutor alijua hilo kabla ya kuingia, kwanini hakuachana na huyo doctor, akaingia moja kwa moja mahakamani na kuondoa kesi? lakini alijua anachoenda kuongea lakini ili kurahisira upande wa pili akamwacha doctor akaharibu mambo kule ndani. kwisha habari yake, na mbasha atatoka.
prosecutor ndiye mwenye mamlaka ya shahidi yupi aje na nani asije na wakati gani afunge kesi upande wa republic au la, hivyo hata government chemisty anaweza asiletwe jamaa akafunga kesi na rulling ya whether kuna kesi ya kujibu au la inaletwa, na kama ushahidi ni hafifu, kesi itakuwa acquittal palepale, ndicho kilicholengwa na huyo prosecutor. ni kitu cha kweli kwamba doctor kama amesema hivyo, ni madhara makubwa sana upane wa prosecution na republic wanatakiwa kuleta ushahidi mwingine mzito sana. unfortunately, kama prosecutor aliruhusu shahidi wa aina hii kuingia mahakamani, hawezi kuleta ushahidi mwingine bora kuliko wa huyo doctor, na ninafikiri ni muafaka tusema 'MBASHA HAKUBAKA' kabisa kwasababu prosecution hawana ushahidi mzuri. kwisha habari yake.
kama prosecutor angekuwa mzuri, au angekuwa analeta mashahidi na mashahidi wanaounga mkono kesi, mbasha angepotelea jela. lakini hata hivyo, unajua 30 years si mchezo, nisingependa mwanadamu yeyote aende jela miaka hiyo kwa kesi kama ya mbasha. so its ok for me kama akiachiwa. ila kama tukiongelea uwezo na nia ya mwendesha mashitaka ktk hili kama kweli alimruhusu shahidi wa namna hiyo kuingia mahakamani, basi jamaa lazima amekula mpunga wa kueleweka, au amepewa amri afanye hivyo kutoka juu. (mbasha ana network, na ndiyo network hiyo alikuwa anaitumia kutafuta matamasha ya flora, hadi huko ssm mbasha anajulikana.
PP au wakili yoyote kwa sheria anatakiwa aisaidie mahakama kutenda haki ila bahati mbaya in practice huwa wanafanya tofauti, PF3 iliyokuwepo ndio hiyo na hiyo kesi haiwekeni bila hicho kitu au ushahidi wa kitabibu. Ok let us wait hii mdundo wa ngoma