Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,479
sijajua kama unao uzoefu wa mahakama au unatumia uzoefu wa kwenye magazeti ya udaku. unataka kumaanisha kuwa ushahidi wa daktari anayejaza pf3 ndio ulioshikilia kesi yote?hahaha, what about ushahidi wa government chemisty/mkemia mkuu kuhusu DNA na ushahidi wa daktari ukawa haujaletwa, what if ushahidi wa picha au video clip ukiwepo na ushahidi wa doctor kwa pf3 ukaachwa kuletwa, what if mashahidi waliomkuta kwa macho kama wangekuwepo wakaja kuthibitisha, ukaunganisha na circumstantial evidence lakini ushahidi wa doctor ukawa haujaletwa, utasema hiyo kesi haijawa proved beyond reasonable doubt? na ni kwanini case laws zilishasema ushahidi wa expert sio conclusive ni persuasive tu?yaani sio binding.huwezi kuthibitisha kesi bila jamhuri kuwa na ushahidi wa daktari. hata kama state attorney angeona ni lazima dr. angeturn hostile kwa nature ya kesi na inavyoattract public interest lazima state attorney asingekuwa na ujanja
ninajaribu kukueleza hayo ili kuona kuwa huyo doctor hajashikilia kesi yote kwa hako ka pf3 kwasababu alipokuwa anambaka hakumlazimisha wakaangushana na kuchubuana na kuvunjana mikono etc. inaonekana walikubaliana na kwenye uchii wa demu kulilainika utelezi mashine ya mbasha ikaingia bila michubuko yeyote. hapo doctor ana faida gani? wakati hataona michubuko ya mwili wala ya k?
ulishawahi kuiona pf3 tangu uzaliwe na namna inavyojazwa?unajua kwenye pf3 doctor anajaza nini?
tukija kwa prosecutor, kwani prosecutor hakumwandaa shahidi doctor kabla ya kuingia, na kama aliona doctor hasapoti ushahidi wake aliingia naye wa nini? na kama aliingia naye na aka turn hostile kwanini hakumshughulikia kudiscreit ushahidi wake, na kama kweli alijua doctor anaongea ukweli na labda ameona hakuna kesi ya msingi labda mbasha anaonewa, kwanini wanaendelea kuishikilia hiyo kesi, kwanini wasiifute? kwasababu wakili wa serikali anaweza kufuta kesi chini ya s.91(1) na 98(a) CPA. na anayo remedy ya kuja kufungua tena baadaye ushahidi wake ukikaa vizuri.
ukiwa mahakamani, hakuna kesi yenye nature ya public au ya mtu wa kawaida, kinachotakiwa pale ni procedure tu, manjonjo yote unaacha pale mangoni unapoingia mahakamani, mkifika pale inaongea procedure ya sheria tu.