Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,903
- 28,047
Gwajima na Flora wanaumbuliwa kweupeee..
Mbasha:
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Isaya[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]41[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]10[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mbona unajua kutunga habari wewe!hilo nalo jambo la kufanya research? kwani wewe ulianza lini kupelekea moto? wenzio tukiwa na miaka 14 tulikuwa tunapelekea moto wasichana wenye 12 na 13. hawa wasichana unaowaona wanaenda shule form one two etc huko walimu wanawapelekea moto vizuri tu sio mabikira, na mwingine unaweza kukuta k imepanuka kuliko hata aliyezaa. tatizo hapa sio kama kitu kinaingia smooth au la, au whether ni mature minor au la, cha muhimu ni kwamba amefikia 18?, kama sio umekwisha. na kwa taarifa yako kati ya wanawake wanaopelekea moto zaidi ni 17 to 25. mbasha yule demu alishamlamba pale morocco kwenye gari, na home kagonga mara kadhaa tu. yeye mwenyewe analijua hili, na walikuwa wanakubaliana ila shemeji alikuja kumruka baada ya kubambwa na sista (flora) kujisafisha akamwaga ugali. hapa sasa hata kama walikuwa wanakubaliana kupelekeana moto na binti alikuwa anapenda, kama ni under age according to law mbasha amekwenda na maji.
hivi kwa mtu mzima, mwanaume, ni habari gani hapo unafikiri imetungwa?Mbona unajua kutunga habari wewe!
Watakuja kukusuta!
Alikuwa wapi muda wote huyu daktari? Huu ndio muda wa shetani kufanya kazi.
hivi kwa mtu mzima, mwanaume, ni habari gani hapo unafikiri imetungwa?
aliyepigwa miti (yule under age) ndiye aliyesema haya, na mbasha mwenyewe ameomba msamaha kwa binti kuhusu hilo. wewe pia ni mchumba wa mbasha nini?Ulikuwepo hapo Morocco unaposema alikua anamlamba kwenye gari?
ndugu ulishawahi kufika mahakamani hata siku moja? mbona unaongea vitu ambavyo havipo?katika kesi za ubakaji shahidi wa kwanza ni daktari aliyemfanyia vipimo mbakwaji 'daktari ni lazima atoe ushahidi then mambo mengine ndo yanafuata'.
Alikuwa wapi muda wote huyu daktari? Huu ndio muda wa shetani kufanya kazi.
nzalendo, Tyta and 5 others like this.Alikuwa wapi muda wote huyu daktari? Huu ndio muda wa shetani kufanya kazi.ulitaka daktari afanyeje wakati ndo wakati wake sasa wa kutoa ushahidi?!
Huyu Dr nlikuwa namuheshimu,sijui Kala maharagwe?...kazeeka huyu...simuheshimu tena... Salamu kwako Askofu G popote ulipo
mmmmh haya banaFlora mbasha Na g'wajima wake wameumbuka jamani wazomeeni
kubaka katika sheria, kuna kubaka kwa kawaida, na kuna kubaka kisheria. kubaka kisheria ni pale unapofanya mapenzi na binti miaka chini ya 18 hata kama amekubali, kisheria ni kubaka. pona ya mbasha hapo ni kama binti atakuwa na miaka 18 au zaidi, kama alikuwa chini, na kuna audio ile anaomba msamaha kwa huyo binti kwamba wayamalize tu na anakiri kwamba alimkosea/alimlala zaidi ya mara moja, miaka 30 iko palepale. hivyo kubaka kwa hawa wasichana wadogo sio lazima uwe umekaba na kulazimisha, hata kama alijilengesha mwenyewe kama yuko chini ya umri, unakwenda na maji.