kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
WE UNAISHI DUNIA gani,,,karibia magazeti yote yameandika hii habari
Swali liko palepale! magazeti yamepata wapi hii habari wakati ni siri?
WE UNAISHI DUNIA gani,,,karibia magazeti yote yameandika hii habari
Soma magazeti basi
Mkuu siri ni ya mtu mmoja tu, ikishakuwa watu wawili siyo siri tena
WE UNAISHI DUNIA gani,,,karibia magazeti yote yameandika hii habari
Hakuna kesi hapo tena,kwenye kesi za ubakaji ushahidi wa daktari unazingatiwa sana.sasa ili mtu atiwe hatiani unatakiwa ushahidi usio na chembe yoyote ya shaka.hao mashahidi waliobaki watakuja kusema niliambiwa,nilisikia wanazozona n.k .
- [h=2]Re: Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake[/h]
1. Dk. Mtuka alisema baada ya kufikishwa hospitalini hapo, alimfanyia kipimo cha macho na kisha kutaka kumfanyia kipimo cha kimaabara ambacho hutolewa bure hospitalini hapo.
Alisema hata hivyo binti huyo hakupima kipimo hicho badala yake alirudishwa nyumbani.
Alirudishwa hospitalini siku nane baadaye, yaani Juni 3, mwaka jana na nilipomfanyia kipimo hicho sikuona chochote, nikawajazia katika PF3 kile nilichokiona,
NiTafakari (Akili za kuambiwa changanya na zakwako)
aliyekuambia ushahidi wa daktari unazingatiwa sana kwenye kesi za kubaka ni nani? unatakiwa kujua kuanzia leo kuwa expert opinion is not binding, kama kuna ushahidi mwingine mzito kuliko huo wakauleta hata hicho alichoongea doctor kinapigwa chini tu. au nikuwekee case law hapa uone?Hakuna kesi hapo tena,kwenye kesi za ubakaji ushahidi wa daktari unazingatiwa sana.sasa ili mtu atiwe hatiani unatakiwa ushahidi usio na chembe yoyote ya shaka.hao mashahidi waliobaki watakuja kusema niliambiwa,nilisikia wanazozona n.k .
Mwanangu mbasha agiza kahawa
Kwa hiyo ushahidi ndiyo umepatikana Jana?daktari kapima kipindi kile sasa kwa nini asithibitishe mahakamani tokea kipindi kile? Walikaa na shemeji mtu kumfanyia uchunguzi tokea kipindi kile? Leo ndiyo muda mwafaka wa hawa wazandiki kuunganisha mambo ili watimize azma yao. Msisahau sauti za watu ni kubwa wakichoka utawala wa mabavu.
kubaka katika sheria, kuna kubaka kwa kawaida, na kuna kubaka kisheria. kubaka kisheria ni pale unapofanya mapenzi na binti miaka chini ya 18 hata kama amekubali, kisheria ni kubaka. pona ya mbasha hapo ni kama binti atakuwa na miaka 18 au zaidi, kama alikuwa chini, na kuna audio ile anaomba msamaha kwa huyo binti kwamba wayamalize tu na anakiri kwamba alimkosea/alimlala zaidi ya mara moja, miaka 30 iko palepale. hivyo kubaka kwa hawa wasichana wadogo sio lazima uwe umekaba na kulazimisha, hata kama alijilengesha mwenyewe kama yuko chini ya umri, unakwenda na maji.
yap. doctor anasema hivyo, hakuona dalili yeyote kuwa aliingiliwa kimwili,nyuchi ya demu ilipembuliwa ikaonekana haijagongwa...labda demu alikuwa amekubuhu hivyo hata akifanywa haiwezi kuonyesha. mwanamke akibakwa anatakiwa asioge aende hospitali achunguzwe kama kuna mikwaruzo kwenye mashine, kama kuna shahawa zozote, kama kuna dalili yeyote inayoonyesha ametoka kupigwa miti etc. however, ktk kubaka sio lazima ufanye mapenzi kabisa, ile kuingiza hata kichwa tu maadam kuna ushahidi kuwa uliingiza hata kama labda katika purukushani ikachomoka bila wewe kupiga juu chini chuu chini chubwiichubwiiii inatosha kubaka.Ivi taarifa ya dr inaposema binti hakubakwa si sawa nakusema mbasha hakufanya nae mapenzi,,au mim ndo sijaelewa...
Mara nyingi naona unapenda ongelea fununu. Huyo daktari mpaka sasa kaongea facts,tena mbele ya mahakama.Lini nawe utaongea facts?yap. doctor anasema hivyo, hakuona dalili yeyote kuwa aliingiliwa kimwili,nyuchi ya demu ilipembuliwa ikaonekana haijagongwa...labda demu alikuwa amekubuhu hivyo hata akifanywa haiwezi kuonyesha. mwanamke akibakwa anatakiwa asioge aende hospitali achunguzwe kama kuna mikwaruzo kwenye mashine, kama kuna shahawa zozote, kama kuna dalili yeyote inayoonyesha ametoka kupigwa miti etc. however, ktk kubaka sio lazima ufanye mapenzi kabisa, ile kuingiza hata kichwa tu maadam kuna ushahidi kuwa uliingiza hata kama labda katika purukushani ikachomoka bila wewe kupiga juu chini chuu chini chubwiichubwiiii inatosha kubaka.
lakini vilevile, neno kubaka kisheria lipo aina mbili, kwanza kabisa kubaka kwa kawaida na kubaka kisheria (statutory rape). statutory rape ni pale mtu anapomgonga msichana chini ya miaka 18 hata kama alikubaliana naye. maadamu upo ushahidi wa kumwingilia tu inatosha.
katika suala la mbasha, huyo doctor alikuja kutoa ushahidi wa pf3 tu. kumbuka ilishaenda kupimwa hata DNA. yaani kwenye uchii wa uyo binti majimaji yalichukuliwa na kupimwa dna, ikionekana vinasaba vya DNA vya damu ya mbasha vimepatikana kwenye uchi wa uyo demu, itabidi sasa mbasha aieleze mahakama vinasaba hivyo vilifikaje hapo. kwahiyo doctor wa pf3 ametoa ushahidi, sio binding kisheria, lakini kuna bomu moja kubwa sana kama kweli lipo, hilo la DNA (ambalo kwa fununu nilizokuwa nimezipata inaonekana DNA ilitiki sasa sijui kama watacorrupt kumwokoa), mkemia mkuu wa serikali akija kuitolea ushahidi hiyo, vilio vya kisukuma vitakikika pale mahakamani na hizo story zenu zote zitaisha.
fununu gani nimeongelea hapo? kama unaongelea kuhusu iyo DNA kama ndio fununu, how do you know (we hunijui) kama pengine nilishaliona hilo jalada au hiyo report ya mkemia? after all, hapa hatupo mahakamani na tunaongea sio na wanasheria tu na laymen pia hivyo nikisema fununu kuna jambo zito limejificha ndani na kama hawatacorrupt i am telling you jamaa anapigwa 30.Mara nyingi naona unapenda ongelea fununu. Huyo daktari mpaka sasa kaongea facts,tena mbele ya mahakama.Lini nawe utaongea facts?
Duuuh hivi unajua unachoongea wewe jamaa. Ulitaka Dakatari atoe tangazo baada ya kutoka maabara?. Unadhani ulikuwa uchaguzi wa vinasaba?Alikuwa wapi muda wote huyu daktari? Huu ndio muda wa shetani kufanya kazi.
hiyo ni dili tu, prosecutor amekula na mbasha. inakuwaje, kwani kesi ipo kwenye defence? kama wakili wa serikali anayeendesha hiyo kesi aliona shahidi doctor ata turn hostile namna hiyo alimpeleka wa nini? na zaidi ya yote, i hope huyo wakili wa serikali anayeendesha shitaka ataipeleka na ile audio ya mbasha akiomba msamaha kwa shemeji yake kwa kumlala. na ijulikane kuwa kubaka kwa mbasha hata kama hakutakuwa moja kwa moja, kutategemea na umri wa binti ili kuangukia kwenye statutory rape yaani kulala na binti miaka chini ya 18 hata kama alikubali ni kubaka kisheria. hivyo aombe Mungu umri wa binti uwe zaidi ya miaka 18 na ile audio aliyorekodiwa aombe Mungu isijulikane kuwa ni yeye. mwendesha mashitaka wa hiyo kesi ameelekezwa cha kufanya hasa kutokana na ugomvi wa gwajima na serikali.mbona iko wazi hivi?anataka watu waamini allegation against gwajima na flora ili wammalize.