Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

Siamini na sitaamini sababu mazingira yanaonyesha serikari inamkakati wa kumdharirisha,na kumuharibia gwajima/mm sisali kwa gwajima na cjawai enda kanisani kwake kwa kusali,ila tabia yangu nilivyo mtu yeyote hata ww ikionekana unaonewa ninakuwa upande wa yule anaeonewa na huwa cna mfumo wa kishabiki ktk maisha yangu
 

  • [h=2]Re: Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake[/h]

1. Dk. Mtuka alisema baada ya kufikishwa hospitalini hapo, alimfanyia kipimo cha macho na kisha kutaka kumfanyia kipimo cha kimaabara ambacho hutolewa bure hospitalini hapo.

Alisema hata hivyo binti huyo hakupima kipimo hicho badala yake alirudishwa nyumbani.
“Alirudishwa hospitalini siku nane baadaye
, yaani Juni 3, mwaka jana na nilipomfanyia kipimo hicho sikuona chochote, nikawajazia katika PF3 kile nilichokiona,”

NiTafakari (Akili za kuambiwa changanya na zakwako)
 

1. Dk. Mtuka alisema baada ya kufikishwa hospitalini hapo, alimfanyia kipimo cha macho na kisha kutaka kumfanyia kipimo cha kimaabara ambacho hutolewa bure hospitalini hapo.

Alisema hata hivyo binti huyo hakupima kipimo hicho badala yake alirudishwa nyumbani.
“Alirudishwa hospitalini siku nane baadaye
, yaani Juni 3, mwaka jana na nilipomfanyia kipimo hicho sikuona chochote, nikawajazia katika PF3 kile nilichokiona,”

NiTafakari (Akili za kuambiwa changanya na zakwako)
 
WE UNAISHI DUNIA gani,,,karibia magazeti yote yameandika hii habari

Soma tafakari uaelewa ukielewa utajua zaidi.

Kushambulia hakusaidii sana, soma nilivyojibu hapo juu ni dhahiri utaelewa swali langu lililenga nini!!!!!!!
 
Haya ndiyo matatizo ya kutaka kula kuku na mayai yake sasa hivi anahaha ile mbaya.
 
Hakuna kesi hapo tena,kwenye kesi za ubakaji ushahidi wa daktari unazingatiwa sana.sasa ili mtu atiwe hatiani unatakiwa ushahidi usio na chembe yoyote ya shaka.hao mashahidi waliobaki watakuja kusema niliambiwa,nilisikia wanazozona n.k .
Mwanangu mbasha agiza kahawa
 
Huyo dada aliachia mwenyewe akalambishwa dawa! kubakwa kuko wapi?
 
aliyekuambia ushahidi wa daktari unazingatiwa sana kwenye kesi za kubaka ni nani? unatakiwa kujua kuanzia leo kuwa expert opinion is not binding, kama kuna ushahidi mwingine mzito kuliko huo wakauleta hata hicho alichoongea doctor kinapigwa chini tu. au nikuwekee case law hapa uone?
 

Kwan hii kesi ilikuwa inasikilizwa kila siku?
 

Ivi taarifa ya dr inaposema binti hakubakwa si sawa nakusema mbasha hakufanya nae mapenzi,,au mim ndo sijaelewa...
 
Ivi taarifa ya dr inaposema binti hakubakwa si sawa nakusema mbasha hakufanya nae mapenzi,,au mim ndo sijaelewa...
yap. doctor anasema hivyo, hakuona dalili yeyote kuwa aliingiliwa kimwili,nyuchi ya demu ilipembuliwa ikaonekana haijagongwa...labda demu alikuwa amekubuhu hivyo hata akifanywa haiwezi kuonyesha. mwanamke akibakwa anatakiwa asioge aende hospitali achunguzwe kama kuna mikwaruzo kwenye mashine, kama kuna shahawa zozote, kama kuna dalili yeyote inayoonyesha ametoka kupigwa miti etc. however, ktk kubaka sio lazima ufanye mapenzi kabisa, ile kuingiza hata kichwa tu maadam kuna ushahidi kuwa uliingiza hata kama labda katika purukushani ikachomoka bila wewe kupiga juu chini chuu chini chubwiichubwiiii inatosha kubaka.

lakini vilevile, neno kubaka kisheria lipo aina mbili, kwanza kabisa kubaka kwa kawaida na kubaka kisheria (statutory rape). statutory rape ni pale mtu anapomgonga msichana chini ya miaka 18 hata kama alikubaliana naye. maadamu upo ushahidi wa kumwingilia tu inatosha.

katika suala la mbasha, huyo doctor alikuja kutoa ushahidi wa pf3 tu. kumbuka ilishaenda kupimwa hata DNA. yaani kwenye uchii wa uyo binti majimaji yalichukuliwa na kupimwa dna, ikionekana vinasaba vya DNA vya damu ya mbasha vimepatikana kwenye uchi wa uyo demu, itabidi sasa mbasha aieleze mahakama vinasaba hivyo vilifikaje hapo. kwahiyo doctor wa pf3 ametoa ushahidi, sio binding kisheria, lakini kuna bomu moja kubwa sana kama kweli lipo, hilo la DNA (ambalo kwa fununu nilizokuwa nimezipata inaonekana DNA ilitiki sasa sijui kama watacorrupt kumwokoa), mkemia mkuu wa serikali akija kuitolea ushahidi hiyo, vilio vya kisukuma vitakikika pale mahakamani na hizo story zenu zote zitaisha.
 
Mara nyingi naona unapenda ongelea fununu. Huyo daktari mpaka sasa kaongea facts,tena mbele ya mahakama.Lini nawe utaongea facts?
 
Mara nyingi naona unapenda ongelea fununu. Huyo daktari mpaka sasa kaongea facts,tena mbele ya mahakama.Lini nawe utaongea facts?
fununu gani nimeongelea hapo? kama unaongelea kuhusu iyo DNA kama ndio fununu, how do you know (we hunijui) kama pengine nilishaliona hilo jalada au hiyo report ya mkemia? after all, hapa hatupo mahakamani na tunaongea sio na wanasheria tu na laymen pia hivyo nikisema fununu kuna jambo zito limejificha ndani na kama hawatacorrupt i am telling you jamaa anapigwa 30.

wewe vipi kwa upande wako, mbona hata facts haujawahi kuongea wala fununu tu haujawahi?hahahah. na kama wewe utakuwa lawyer na unaiamini pf3 kama ndio inaweza base ya defence yako basi ulisomea chini ya mti au ulisoma online studies. and i am sure, kama kweli doctor katoa ushahidi kama huo, basi alikuwa hostile kwa prosecution na prosecution walimwacha aseme hivyo ili kumuokoa mbasha labda kwasababu ameshawacorrupt au labda kuna amri imetoka huko juu kuagiza mbasha asaidiwe ndio maana prosecutor hajamdeclare hostile doctor, au labda prosecutor hana uzoefu? No, namjua Nassoro Katuga ni mzoefu tu, sasa sijui alipitiwa au ilikuwaje.
 

huwezi kuthibitisha kesi bila jamhuri kuwa na ushahidi wa daktari. hata kama state attorney angeona ni lazima dr. angeturn hostile kwa nature ya kesi na inavyoattract public interest lazima state attorney asingekuwa na ujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…