..................doctore,karibu sana.Habari za huko utokapo?????..........huku kwema ila kama ni wagonjwa tupo wa kila aina,kama ni hospitali basi huku zipo kila aina hadi za kata,achilia mbali zahanati,rufaa.Kama ni dawa zipo chungu na tamu,tena lukuki kwani bohari la madawa ndo mwake humu,utaziona tuuuuuuuuuuuu,kuna aspirin,rangi saba,chloroquine,hadi maji ya uchungu duhhhhhhhh........chonde chonde doctore..................fuata kanuni,...........angalia usije lazwa wewe ukahudumiwa na kutibiwa na wagojwa...........................,lakini pia mchango wako ni muhimu sana......karibu pita hadi ndani upate japo kikombe cha gahawa..................