Daktari huyu alitaka kunibaka?

Acha zako, hata Daudi alipita na mke wa mtu na alikuwa mfalme na mtume
Daudi ndio msingi wa imani yako? Mimi namfuata Yesu Kristo. Aliongea na mama msamaria kisimani lakini hakumtamani.
 
Uhalisia upi? Yesu alijaribiwa katika mambo yote lakini hakutenda dhambi. Ukiokoka, anakupa uwezo wa kushinda tamaa za mwili zipiganazo na roho.
Sasa wewe ni Yesu.. halafu usilinganishe zama za Yesu na sasa.. hata dunia ya 1990s usilinganishe na sasa..
We muombe tu Mungu upate mume mwema , tamaa za kimwili usichanganye na maombi, kwa maana hizo tamaa za mwili ndio majaribu yenyewe...
Na wanawake mlivyo na nyege za hatari unakuta mtu anavuka barabara haoni hata kama kuna gari... kichwa hakifanyi kazi..
 
Daudi ndio msingi wa imani yako? Mimi namfuata Yesu Kristo. Aliongea na mama msamaria kisimani lakini hakumtamani.
Yesu sio mwenzako alizaliwa pasipo msaada wa baba, yule ni abnormal...
Mfano mzuri nimekupa Daudi..
 
Sasa wewe ni Yesu.. halafu usilinganishe zama za Yesu na sasa.. hata dunia ya 1990s usilinganishe na sasa..
Yesu yuko ndani yangu na mimi ndani yake. Yesu aliyeshinda tamaa na dhambi zote ndiye anayeniwezesha na mimi kushinda.
Flp 4:13
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu
 
Yesu yuko ndani yangu na mimi ndani yake. Yesu aliyeshinda tamaa na dhambi zote ndiye anayeniwezesha na mimi kushinda.
Flp 4:13
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu
Wengi wanasema hivyo tena mbele ya hizo wanaita madhabahu, unamfahamu Gwaji Boy?
 
Yesu sio mwenzako alizaliwa pasipo msaada wa baba, yule ni abnormal...
Mfano mzuri nimekupa Daudi..
Andiko hili lisome tena na tena
1 Yoh 3:9
Kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wake wakaa ndani yake; wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa kutokana na Mungu.
 
Wengi wanasema hivyo tena mbele ya hizo wanaita madhabahu, unamfahamu Gwaji Boy?
Mimi niambie wapi Yesu alitenda dhambi ya uzinzi. Tunayepaswa kumfuata ni Yesu. Sio Daudi wala mwanadamu yeyote.
 
Lengo ni neno sio scenario, hongera kwa ubunifu mtumishi, maana bila kuweka chambo, samaki hupati.
 
Hiki kifungu sijawahi kumsikia mchungaji wangu akikisoma. Sijui anaogopa kutamka hao mabasha
 
Inaonyesha ulitaka ubakwe, ni kama ulienda kwa lengo la kubakwa lakini bahati mbaya hakutekeleza ulichotaka.

Kwa kukusaidia ukitaka, kajipitishe Bar yoyote mida ya Wanga ingia choo cha kiume hutokosa mtu, Pombe huwa inaamsha mishale siyo mchezo.
 
Kuna mabint wa kikristo wengine mpo safi sana hio machine itunze usiwape wajinga subiri mpa ukisha olewa mpe utamu huo mme wako.
 
UNAPAMBANA SANA KILA MARA KUWA NA VISA VYA KUPOST HATA VYA KIJINGA. MPAKA WATU WANAANZA KUHISI WEWE NI MWANAUME UNAJIFANYA MWANAMKE
 
Kumbe ulikuwa unakusanya ushahidi kimya kimya. Siku nyingine nenda na Mumeo😄
 
Ila wapendwa wanapenda kupigana mashine sana sijui kwanini...
Kanisani kukuta mchungaji anapiga kondoo ni kawaida sana, anawapa na mimba na scandals za ajabu sana....
Hao wapendwa uliowakutana nao wewe ni wapendwa wa mabox. Hujakutana na wakina Setfree😄
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…