Daktari feki akamatwa tena Muhimbili

Daktari feki akamatwa tena Muhimbili

Hehee. Wanaombwa msamaha kwani mchumba wao huyo? Whatever happened to being innocnt until proven innocent?
Teh!, teh!, teh!,...lakini wewe!,nilikuwa hata sijanote kama kapiga magoti, labda walikuwa wanam force kuomba msamaha
 
  • Thanks
Reactions: kui
Yaelekea anapenda fani ya udaktari bora apatiwe mkopo aende chuo kuongeza ujuzi .

Miaka mitano mchezo....hahaha...huyu anarahisisha sana kazi za watu...hivi huyu jamaa anafanyaje kazi huko ..maana inapokuja issue ya kudiscuss mambo ya kitabibu hubaki kimya au.??..I wonder..how z it possible. ..
 
Inawezekana asiwe feki,
Ila ni daktari (MD) asiye na ajira hapo Muhimbili lkn sifa kwa maana ya sifa za kitabibu anazo.

Ukosefu wa ajira kwa wahitimu haya ndio matokeo yake.

Huyu jamaa ni machinga hajawahi hata kufanya kazi ya ufagizi ktk dispensari yoyote
 
Ni Jana tu nilienda kumuangalia kaka yangu ambae kwa maelezo yake ni kwamba alifanyiwa vipimo dar group na kugundulika ana kidole tumbo(appendix) so anahitajika kufanyiwa operation kwa vile shangazi yetu yupo pale amana tukaona ni bora akafanyiwe pale,kufika amana akakabidhiwa dr amcheck kwanza kabla ya operation cha ajabu dr anasema haoni
 
Ni Jana tu nilienda kumuangalia kaka yangu ambae kwa maelezo yake ni kwamba alifanyiwa vipimo dar group na kugundulika ana kidole tumbo(appendix) so anahitajika kufanyiwa operation kwa vile shangazi yetu yupo pale amana tukaona ni bora akafanyiwe pale,kufika amana akakabidhiwa dr amcheck kwanza kabla ya operation cha ajabu dr anasema haoni tatizo kama hilo yani hakuna haja ya operation akampa dawa na kumuandikia sindano tu sasa sijui ni yupi mkweli wa dar group au amana!!!
 
hawa madaktari feki wanalipwaga mshahara feki au original?
 
Polisi wa kitanzania sijui akili zao zikoje. Sasa kumpigisha magoti dr wa watu ndo nini?

Watuhumiwa wa wizi wa mamilioni ya pesa hawapigwi pngu wanapopelekwa mahakamani. Wao hata vyumba vya selo kule Keko vinapigwa lipu na kupakwa rangi upya.
 
Huyu mjinga mwaka jana alikamatwa muhimbili ...mwaka huu tenaaa moi..anajiiamini nini...au kuna baba yake hapo

Bora huyu kunamtaalam kapiga dili la RADA
ESCROW

NAHAJAKAMATWA KWANINI MCHAGA ASITOKE...DILINITYMN TU UNAWEZA RUDIAHATA MIAKA HALI PIGA KWA UPOLE NAUKARIMU NA UJALIKIDOGO UNAOENDA ET KUWAPIGA
 
miaka mitano mchezo....hahaha...huyu anarahisisha sana kazi za watu...hivi huyu jamaa anafanyaje kazi huko ..maana inapokuja issue ya kudiscuss mambo ya kitabibu hubaki kimya au.??..i wonder..how z it possible. ..




ccc:lptf
 
Hahaha...hapo muhimbili waongeze umakini...nakumbuka enzi nasoma hapo...ukiwa na ndugu yako mgonjwa amelazwa unavaa koti tu jeupe unaingia kiulaainiii..mlinzi hana habari na wewe wala nesi...tena mbaya zaidi tulikua tuna access ya kuingia humo mpk usiku wa manane...unaenda kumcheki ndg yako/jirani yako....sasa km sisi tu wanafunzi tulikua tuko very free..mtu baki je na mwenye nia mbovu je...
Inabidi wawe serious...mana pale kutambua yupi dk yupi siye ni ngumu...ukivaa tu koti dk...ukining'iniza kitambulisho hamna anayejalI ni fake au Og

:thumbup:
 
Huyu atakua anapiga daywaka, alafu anajilipa kupitia rushwa kwa wagonjwa" au anafanya mipango ya kuuza viungo vya watu.
 
Ndio kilichobakia sasa. Binadamu anapowekwa kwenye wakati mgumu hubakia kujitoa akili tu. Jamaa aliamua kujiajiri kwa malipo ya rushwa. Anajichanganya kwa wagonjwa na kuanza kushawishi rushwa ili awahudumie. Hapo mgonjwa kakata tamaa na kuamua kutoa rushwa, na huyo daktari feki kakata tamaa na kuamua kuishi kwa mshahara wa rushwa.
Ova
 
Takukuru mpooo..!! tunataka kufahamu huyu jamaa aliachiwa kwa vigezo vp? mwaka jana amekamatwa mwaka huu tena..!! hapana kuna namna imefanyika ndio maana amerudia tena, zile rushwa alizotoa ndio karudi moi ili azirejeshe na lazima kuna mtu hapo muhimbili anacheza nae dili..!!
 
Huyu jamaa ni usalama taifa(sku hizi kila muovu ni usalamawa taifa.)yaani mtu ambae iaaue zake hzielewekieleweki basi utaskia usalama wa taifa.hii ndio tz chezea ww
 
Wampe tu udaktari kwani si walikuwa wakimpangia kazi au?
 
Miaka mitano mchezo....hahaha...huyu anarahisisha sana kazi za watu...hivi huyu jamaa anafanyaje kazi huko ..maana inapokuja issue ya kudiscuss mambo ya kitabibu hubaki kimya au.??..I wonder..how z it possible. ..
Nani tena mkuu hukaa kimya mbona kama sijaelewa. Kweli miaka mitano mingi .
 
Nani tena mkuu hukaa kimya mbona kama sijaelewa. Kweli miaka mitano mingi .

I meant likija suala la kudiscuss issue za wagonjwa..yeye huwa anafanyaje au hukaa kimya cz hana ideas za magonjwa
 
Hapo kuna mchezo wa kugeukana umefanyika!Haiwezekani mtu akafanya kazi kama hiyo harafu leo hii mtuambie ni feki Dr
 
I meant likija suala la kudiscuss issue za wagonjwa..yeye huwa anafanyaje au hukaa kimya cz hana ideas za magonjwa
Hahahahaha mgonjwa anaambiwa alete vipimo kwani umesahau madaktari wetu . Huenda amekremu anavyoulizwa na daktari pindi aendapo hosptali. Kama ujuavyo mkuu madaktari wetu wakati mwingine mpaka uwaelekeze wakupime nini . Wengine hukuambia pima malaria bila kucheck BP wala Blood sugar sasa mgonjwa yapasa umwambie dr niandikie na kipimo hiki au kile sasa ukitaka kuwa dr feki mbona rahisi tu.
 
Back
Top Bottom