Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,675
- 37,854
kuna watu siyo waoga mpwaaa
Mpwa angepiga escrow tungeheshimika a ti
Hili loh!!!
kuna watu siyo waoga mpwaaa
hii kitu sijaielewa vizuri cc: Dr.Moo
mpwa huyo dokta kaingia choo cha kike...atatoka lknMpwa Ule mchongo wamwachie akahudhurie taifa kesho. Auze namachungwa yake kama alivyodai mjasiriamali wa bugurunisokoni
Ngasuo leka tikyi
Mia.100. IVO...
Kabla daktari hajakuhudumia unamuomba vyeti na vitambulisho vyake
Huyu mjinga mwaka jana alikamatwa muhimbili ...mwaka huu tenaaa moi..anajiiamini nini...au kuna baba yake hapo
Wachaga wanajulikana kwa wizi na utapeli. mtoto wa kichaga akizaliwa anapitishwa dirishani na kisu mkononi ili akiwa mkubwa awe Jambazi
kumbe ni huyu huyu jamaa?
loh!! huyu jamaa anajiamini sana lazima kuna watu nyuma yake
Hii nchi Ina rais kweli AU RAHISI
Hii nchi sasa utamuonea aibu nani??
Kama Le profeseli Muhongo alikuwa anafurahia bn 321, kwann mimi nione aibu?
Le big nation gadem Tanzania sucks!!
Polisi wa kitanzania sijui akili zao zikoje. Sasa kumpigisha magoti dr wa watu ndo nini?
Inawezekana asiwe feki,
Ila ni daktari (MD) asiye na ajira hapo Muhimbili lkn sifa kwa maana ya sifa za kitabibu anazo.
Ukosefu wa ajira kwa wahitimu haya ndio matokeo yake.
Hapa Rais unamwonea mkuu,hili tatizo Siyo la kwanza,kwanini linajiludia?,uongozi hawana mbinu mbadala ya kuzuia hayo yasitokee?Ni uzembe wa uongozi Si vinginevyo...
Yaelekea anapenda fani ya udaktari bora apatiwe mkopo aende chuo kuongeza ujuzi .Huyu mjinga mwaka jana alikamatwa muhimbili ...mwaka huu tenaaa moi..anajiiamini nini...au kuna baba yake hapo