figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,614
- 62,403
Kuna taarifa ya kukamatwa Daktari feki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kama hii habari ni kweli, basi itabidi baadhi ya Viongozi wa Hospitali hii wajiuzulu nafasi zao. Hii inaonesha ni jinsi gani viongozi wanacheza na afya za Watanzania.
Mia
Mia