Daktari feki akamatwa tena Muhimbili

Daktari feki akamatwa tena Muhimbili

Ni mchaga! jamaa ana uso mkavu kabisaa hata wasi wasi hana! source: ch ten
 
Hii nchi sasa utamuonea aibu nani??

Kama Le profeseli Muhongo alikuwa anafurahia bn 321, kwann mimi nione aibu?

Le big nation gadem Tanzania sucks!!
 
Ni mchaga! jamaa ana uso mkavu kabisaa hata wasi wasi hana! source: ch ten

ImageUploadedByJamiiForums1418059215.888198.jpgImageUploadedByJamiiForums1418059237.739414.jpg

Huyu alikamatwa kule Morogoro
 
Naangalia itv natoa machozi kumwona mchaga mwenzangu kakamatwa hosp ya moi kkwa kuwatapeli wagonjwa na kuomba michango kwa ma dk ya msiba....

Ni kweli atukuja kulimalami dar lakini swala lakucheza na maishaya watu siko nyumayako bwashee hata sikumoja

tupige kwingine tusiwapige wagonjwa hii niilaana na hii ni kwa. Wachaga wote tuliobakia dar

swali moja kumuliza msemaji wa moi...hivi nikweli dk feki anaweza kuingia hosp na kuhuudumia ama kutapelj kuanzia asbh mpaka jioni

2:
 
.. Pdidy njaaaa huwa inamfanya binadamu kutafuta njia ya kupata hela....hehehehehe
 
Last edited by a moderator:
2:nijuavyo kwa akili za kila mtanzania mchaga avamii dili kijinga ukiona hivi ujue kuna michongo ya kweli ambapo ma dk watakuwa wakilamba pesa kwa wagonjwa...mchaga abahatishi jamani...wakae chini uongozi wajiulize kama walivyodai jamaa ana mwaka anatfutwa
 
Naangalia itv natoa machozi kumwona mchaga mwenzangu kakamatwa hosp ya moi kkwa kuwatapeli wagonjwa na kuomba michango kwa ma dk ya msiba....

Ni kweli atukuja kulimalami dar lakini swala lakucheza na maishaya watu siko nyumayako bwashee hata sikumoja

tupige kwingine tusiwapige wagonjwa hii niilaana na hii ni kwa. Wachaga wote tuliobakia dar

swali moja kumuliza msemaji wa moi...hivi nikweli dk feki anaweza kuingia hosp na kuhuudumia ama kutapelj kuanzia asbh mpaka jioni

2:

Kila kitu anachofanya mchaga anategemea faida, hata siasa kwao ni dili.
 
Wachaga wanajulikana kwa wizi na utapeli. mtoto wa kichaga akizaliwa anapitishwa dirishani na kisu mkononi ili akiwa mkubwa awe Jambazi
 
Mwezi wa 12 huu mpwa alikuwa anajiandaa kwenda kujenga heshima migombani.

Swali kwa hawa madaktari halisi inawezekana vipi michango sehemu za kazi mchangiane kwenye Coridor tena na mtu ambaye humjui hivi hata muuza nyama buchani pia si anavaa koti jeupe? Je hamna utaratibu rasmi wa kuchangiana kupitia departmen? Inawezekana vipi madaktari wa MOI hamjuwani? Mimi siyo daktari ila nawajuwa madaktari wengi wa MOI ila wa muhimbili kwa sababu ni kubwa sana ndio si rahisi madaktari kujuwana wote.
 
Na waliweka picha zake n'a huku bado Jamaa yuko muhimbili hiyo hiyo akipiga et michongo wajiulze je yuko mwenyewe muda wotehuo??no lazima KUNA mchongo

Kwanza wachunguze kama kuna wagonjwa wanalipa ma DK nje ya malipoya pale reception...na watafute sababu je mshahaa mdogo??lazima kuna sababu wakaenao wapate muafaka wa hilijambo

Nyuma ya Macha KUNA mengi nyuma ya pazia
 
yaan huyu mchaggaa kwakweli hata kujitetea haweI

mkuu dokta kabanwa pale kawa bubu....alafu ni mara ya pili kumdakaaa hapo moi....hehehehehe kuna watu hawaogopi bwana
 
Na waliweka picha zake n'a huku bado Jamaa yuko muhimbili hiyo hiyo akipiga et michongo wajiulze je yuko mwenyewe muda wotehuo??no lazima KUNA mchongo

Kwanza wachunguze kama kuna wagonjwa wanalipa ma DK nje ya malipoya pale reeption

kuna watu siyo waoga mpwaaa
 
Ndugu zangu wachaga tuungane tukamtolee dhamana macha ila kaingiachoo cha kike Mpwa kesho sikukuu loh

Nirudi kwenye mada Mpwa umeonaa uSanii Ule anakaratasi lamichango inasaini za mdk n'a majina Yao....uwoga wangu kwa exp nilionayo akuna dk mwenye kuchangia lakisita msibani labda uwe wa babayake ama mamayake MZAZI....angalia Zile frg za Kwanza . taTu. Na sita kuna 600"000:300'000:500'000 labda SideWinder na Saini ya Idrissa WA BBA
HUYUMWIZI ASIRUDITENA WE MACHA WEWEE NINI LAKINI NA MASIKA IMEANZA EMBUTWENDE MNDENI AISEE ULANGISOUYE KABSA
 
Ndugu zangu wachaga tuungane tukamtolee dhamana macha ila kaingiachoo cha kike Mpwa kesho sikukuu loh

Nirudi kwenye mada Mpwa umeonaa uranium Ule anakaratasi lamichango inasaini za mdk n'a majina Yao....uwoga wangu kwa exp nilionayo akuna dk mwenye kuchangia lakisita msibani labda uwe wa babayake ama mamayake MZAZI....angalia Zile frg za Kwanza . taTu. Na sita kuna 600"000:3000

mpwa nmeona daftari lile....watu wamechanga ova wanachangia harusi 50000/ kwnda juuu...balaaa
 
Back
Top Bottom