TANZIA Daktari Bingwa wa Mifupa MOI na Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF, Dkt. Paul Gasper Marealle afariki dunia

Duh wakuu hizi RIP ambazo hamkutoa kipindi kile mgejaribu kuzitoa baadae wakati RIP zimepungua..., nyakati hizi ambapo vifo ni vingi kuongeza vingine watu wasiocheki tarehe wanaweza kudhani ni recent
 
Duh!! Pole kwa familia

Nimeangalia huu mkono nikakumbuka siku ya kwanza kwenda moi pale sikupanda pikipiki kwa miezi Mana picha za wagonjwa wa pale zilinifanya nikaogopa sana nilikuaa nikiona pikipiki naona Kama ni jeneza
Bugando zamani walikuwa na wodi maalumu ya bodaboda (sijui kama ipo).. palikua panatisha sana
 
Back
Top Bottom