Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,188
- 12,364
Inaogopesha aiseeeDeportivo la Toyota
Inaogopesha aiseeeDeportivo la Toyota
Dah kweli Mkuu, maana mkono wa jamaa umekuwa kama zipu kwenye begi la CanvasDuh!! Pole kwa familia
Nimeangalia huu mkono nikakumbuka siku ya kwanza kwenda moi pale sikupanda pikipiki kwa miezi Mana picha za wagonjwa wa pale zilinifanya nikaogopa Sanaa nolikuaa niliona pikipiki naona Kama ni jeneza
Do you want to explore the underlying cause before establishing the cause..Swali langu la msingi lilikuwa ni underlying cause of death.
There many types of causes of death.I am not interested with the immediate cause of his death.I just want to know the underlying cause of his death.Do you want to explore the underlying cause before establishing the cause..
Tumepoteza mtaalam ma magonjwa ya mauhimu sana maana ajali ni nyingi, na wewe hongera kwa kupona mkonoTanzia, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa MOI Dkt Paul Gasper Marealle (Daktari bingwa wa Mifupa) kilichotokea usiku wa kumakia tarehe 14/10/2020 katika Taasisi ya MOI. Apumzike kwa Amani
Kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha umma wa watanzania na wadau wa masuala ya afya kuwa Daktari Bingwa wa Tiba ya Mifupa pale MOI, Dkt. Paul Gasper Marealle amefariki dunia usiku wa jana kuamkia leo.
Dkt. Marealle pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka nchini, Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF na Mjumbe wa Kamati ya Tiba.
Binafsi nimemfahamu Dkt. Marealle pale MOI kama Daktari wangu baada ya kufanyiwa upasuaji wa mkono ili kuunganisha mifupa ambayo ilikuwa imevunjika vunjika baada ya kupata ajali mbaya. Aliendelea kunihudumia mpaka pale niliporidhika na maendeleo yangu na kuacha kwenda MOI. Pia alinishauri kutokutoa vipande vya vyuma vilivyokuwa vimeshikilia mifupa ili iunge.
Kwaheri Dkt. Marealle
vilikuwa vya ndani kwa ndani mkuu.Mkuu mbona hatuzioni hizo external fixator, au walikuwekea vyuma vya ndani kwa ndani..rip Dr Marealle..
ok, nimeona ni mfupa wa mkono baada ya bega. Ingekuwa ni chini ya kiwiko wangeweka vyuma vya nje, antenna.vilikuwa vya ndani kwa ndani mkuu.
Siyo kweli maDC, Madiwani na Wabunge hawana umuhimu na wengine kibao sina muda wa kupoteza kuwataja. Ukitaka kunielewa zaidi fuatilia muundo wa serikali wa Uswisi.Kila mtu ana umuhimu wake kwa taifa.
Ha ha ha huwezi kunielewa. Labda ondoa neno taifa kwenye post yangu weka neno dunia utapata mwanga.Siyo kweli maDC, Madiwani na Wabunge hawana umuhimu na wengine kibao sina muda wa kupoteza kuwataja. Ukitaka kunielewa zaidi fuatilia muundo wa serikali wa Uswisi.