Daktari aliyesoma CBG

huna jipya na ujinga wako eti kixa umexoma physics, usiwe na mawazo ya kishamba na kikoloni. ondoa huu uchafu humu yaani we unafikiri lazima uxome phz a lvl ndo uxomee u dr. poor ur brain. jipange:target:
 
elimu ya kibongo upuuzi mtupu...mie naonaga hata A level ni kupotezeana muda na kucheleleweshea vijana muda wa kufaidi maisha....wengi tu nawajua hawakupita e level na sasa nu wanataaluma wazuri kwenye fani zao......

Kamwe Lisa sitakubali asome upuuzi huo wa elevel....ni kama miaka 7 ya primary ni upotezaji wa muda kabisa...dara sa la 5 tu mtoto anakwenda sekondari...

asiekuelewa basi......
 

Yani bora ingekuwa wanafunzi wa sekondari wanabishana tungeelewa.....haki ya nani uwezi amini ni madaktari wanaongea pumba tena mijitu mizima na familia kabisa......
 

Hongera kaka/dada kwa hizi busara.......haya ndio mambo ya ku-discuss....Kudos!!
 
Biology ndo kila kitu, kama hilo somo hulipendi ama huliwezi bas utaishia mwaka wa kwanza udaktar
 
Reason logically..don't use anger..physics opens your mind, radiology..cardiology..you need physics In so many aspects of medicine ..Tanzania kwa ubabaishaji!!

Nadhani huyu ni mmoja wao wa CBG! shame up on them!
 
To be sincere huu mjadala ni mkali,(ila ni baadhi ya vitu TU kuwekana sawa)

Kwa maoni yangu,

Sayansi(Science) ni somo/(masomo) kubwa, hata hivyo imegawanyika katika sehemu nyingi(branches). Medicine ni sehemu mojawapo ya sehemu ya Sayansi(Science) ingawaje pia bado imegawanyika katika sehemu nyingi.

Ikumbukwe kuwa kama baadhi ya fani nyingine kama(Uhandisi) fani ya udaktari vivyo hivyo ambapo aliyemaliza anaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile duniani, hivyo hii kuweza kuleta usawa(uniformity) wa masomo ili kuwa daktari.Yaani masomo yale yale husomwa(kutegemeana na mitaala ya nchi) mf.

-U.S (Kusoma Physics, Chemistry, Biology, Maths..refer MCAT na AAMC)
-U.K, Canada, Australia, India (Kusoma PCB, na kama mwanafunzi hakusoma atatakiwa kusoma 30weeks ya relevant/applied Science).
-Vile vile nchi kama India, Czech n.k
Nchi kama Russia, China, Uturuki, Ureno n.k(hizi huitaji kusoma language) hii ikiwa na maana lazima mtu atumie lugha ile ya nchi yao na wengine kusoma kiingereza.

Hivyo basi kwa kutegemeana na nchi husika, requirements/minimal requirements za admission ni zile zile kama Science(Chemistry na Biology) na Physics na Maths...Iwapo Mwanafunzi alisoma Science(say Science major) na kutosoma baadhi ya masomo hutumia muda wa mwaka mmoja hafi mwaka na nusu kusoma tena Physics, Mathematics na Language, ili awe na ADMISSION criteria, Hii ni popote pale duniani.

Hivyo basi, inawezekana usisome Physics na Maths mwanzoni lakini baadaye ITAKUBIDI kuisoma tu(Applied Physics), in Pre-med school (yaani MED-P) kabla ya kujiunga na medical school.

Katika fani/taaluma ya udaktari kuna ngazi tofauti yaani mf. MD, Specialization(Udaktari Bingwa), na Superspecialization. Ingawaje daktari bingwa(mf. daktari wa upasuaji(Surgeon) amebobea katika tasnia yake bado ana uelewa fulani wa branches nyingine za medicine mf. Psychiatry(magonjwa ya akili).Lakini haimfanyi kuwa Psychiatrist.

Hivyo basi kwa kupitia elimu ya fizikia, mechanism za injury hasa watu wa ajali(type of force, direction of force, etc in Orthopedics and Traumatology) na pia hasa katika ulimwengu huu wa vifaa kazi mf. Laparoscopy, Oesophagoduedunoscopy,MRI, USS, Cystoscopy, Nuclear medicine, Diathermy uses siamini(i stand to be corrected) kuwa physics itaepukwa.
Hata hivyo ni applied science(Science Minor) kukuwezesha kuwa na knowledge fulani lakini haimaanishi/haikifanyi kuwa Physicist.
 
Hongera kaka/dada kwa hizi busara.......haya ndio mambo ya ku-discuss....Kudos!!
If you do not appreciate the gist of chemistry in medicine, then you daktari njaa! Sio wote ni madaktari, kuna wa ku-prescribe chloroquine, na wa brain surgery!
 

Pole sana, kwani umekosa kuchaguliwa??mie nimesoma PCB na ni daktari wa siku nyingi, ila physics ya A level sikumbuki ilinisaidia wapi, sioni tatizo lolote la wa CBG kusomea udaktari, hata kama angekuwa wa HGL, MD unaanza upya vitu vingi, ni kozi inayojitegemea, siamini kama tunatumia vya nyuma. Tuache tu maana hakuna criteria iliyo asilimia mia duniani, ni tentative tu kutokana na mawazo ya ambao wanakuwa wameamua kuweka utaratibu kwa wakati huo
 
If you do not appreciate the gist of chemistry in medicine, then you daktari njaa! Sio wote ni madaktari, kuna wa ku-prescribe chloroquine, na wa brain surgery!

Usually huwa sipendi sana kubishana kwa mambo madogo madogo kama haya.Ila unaonaje ukatoa mfano hapa ni wapi kwenye subjects za medicine ambapo ni kemia ya a-level tu inahitajika ili mtu aelewe ambapo ile ya o-level haiwezi.

Ni kweli kibinadamu kila mtu angependa kuonekana wa pekee sana kwenye fani yake! Lakini basi atuthibitishie huo upekee wake ambao wengine hawawezi kuufikia.Mimi nadhani tungeangalia madaktari wanaohitimu masomo yao kama kweli kuna tofauti yoyote kiutendaji kati ya aliyesoma physics/chemistry ya O & A-Level.

Kwa watu aliosoma medicine watakubaliana na mimi kuwa pale almost everything starts from 'a'. Kule hawasomi physics/chemistry kama ile ya secondary-kwa maana nyingine ni kwamba,ule sio mwendelezo wa topics za A-level,najua hapa ndipo watu wanataka tuamini hivyo! Which is not true. Chuoni masomo haya yanakuwa modified ili kuendana na kozi husika.Ni biology tu ndio nimeona watu wanasoma kama mwendelezo wa ile ya A-level,which means,you go deep hasa kwenye anatomy,physiology,biochemistry,pharmacology, microbiology na parasitology.

Anyway,kama daktari kushiba(sio njaa) ni kusoma physics na chemistry A-Level,fine. Ila naamini waliosoma fani hii wanajua ukweli ulivyo.
 

Nimekuelewa sana. Na upo sahihi! LAKINI- tuna vigezo tulivyojiwekea, lazima tuvifuate. Ndio maana Bush lawyers hawezi kusimama mahakamani kwa Judge ingawa anaweza through experience akawa na uelewa wa sheria. Tumesema kuwa jamani MD lazima asome PCB, ukikiuka hiyo hujafikia vigezo! Kwa wanaotoka kazini clinical officer, AMO wanasoma udaktari, tumekubaliana kuwa nao wanaweza kusoma MD kama..... Tuheshimu hiyo! Penye red nina mashaka! Hivyo mtu wa HKL anaweza kuja kusoma medicine/engineering!!!!!!!!!!!!!! Otherwise uko sahihi kwa yaliyo mengi!
 

mkuu kweli mjasili ahaachi asili,we unazungumzia ubaguzi halafu unataja chuo cha nyuki,sio ndio hao SUA mnavyowaita? Wanasomea udaktari wa nyuki?
 
Last edited by a moderator:
Hapa naona kuna first year ambao bado usekondari usekondari umewajaaa
 

Sawa mkuu.Kama sijakosea,wewe hoja yako ni kwamba tufuate utaratibu tuliojiwekea,siyo? Kwa hiyo hakuna haja tena kureview huo utaratibu,siyo? Very good scientific reasoning indeed! NO COMMENT!
 
ZeMarcopolo hebu mweleze apate kuelewa.

Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu.Kama sijakosea,wewe hoja yako ni kwamba tufuate utaratibu tuliojiwekea,siyo? Kwa hiyo hakuna haja tena kureview huo utaratibu,siyo? Very good scientific reasoning indeed! NO COMMENT!

No this is an evolving society, we need to change accordingly but without compromising quality. Tufanye review sawa lakini tusitoke nje ya misingi inayokubalika kimataifa-international standards. Tunaweza kusema MD wasome miaka 3 kama walimu. Sawa, lakini tutaweza kufundisha yanayopashwa daktari kuyajua kwa kusoma miaka mitatu! Kujua physics kunakupa nafasi zaidi ya kujua matumizi ya vifaa tiba ambavyo ni complicated kwa urahisi na uelewa zaidi kuliko mtu ambaye hajasoma basic principles of physics. Anyway, let us review our entry qualifications without compromising quality of our products
 
Kwa hiyo unasema hakuna sababu ya kuwa na michepuo! hakuna sababu ya grading katika ufaulu kila mmoja anaweza kusoma tu hata wa div 0 anaweza kusoma medicine sababu vitu vingi unaanza upya. Kumbe rahisi hivyo nami kesho nakwenda kuwa daktari
 
ndugu mtu aliyesoma miaka minne ya fizikia na hesabu yaani o-level na anaesoma apllied sayansi kwa wiki 30 yaani miezi saba na nusu unafikiri nani anakuwa ameiva vizuri? mi bado naamini fizikia ya o-level inamtosha mtu kusoma MD lakini biology na chemistry lazima awe amesoma A-level lasivyo hataweza kuelewa biochemistry.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…