utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 321
Yataka moyo kuwa muajiriwa wa sekta ya umma kibongobongo
Uongo wa serikali. Hao 29 walikwa wameshapangiwa kuanza kazi siyo kwamba serikali imewatafuta baada hao wengine kugoma. Shenzy kabisa serikali hii.kuna interns wapya 29 ambao wamepelekwa muhimbili ili kuwareplace interns 229 ?!
hiyo 2 ya kwanza umeisahau au?
ishirini na tisa.
sasa hao 29 watahudumia fasttrack au kwa akina mama?
Martina Njelekela si ndiyo CEO mpya? Ndo kaingia kwa gia kubwa mwenzenu hamumuwezi. Wanawake wanaweza wakiwezeshwa.
ma referee wa uingereza ufanisi wao ni kama vile watendaji wa serikali yetu ya kibongo...wamezidi kuniharibia siku.Me nipo Etihad naona man u wanavyoshinda kwa'MIPANGO'
halafu anawatimuwa wanafunzi wake.kweli adui wa daktari ni daktari mwenzeka.kashasahau na yeye alikumbwa na matatizo haya haya !
anaweza akawa ameshinikizwa tu na wizara ya afya.
nadhani hata huyu dr maro anayeendesha kipindi aliachana na kutibu ili kuepuka upuuzi wa namna hii !!
ma referee wa uingereza ufanisi wao ni kama vile watendaji wa serikali yetu ya kibongo...wamezidi kuniharibia siku.
dr hamisi kigangwalla aliyewahi kuongoza mgomo wa interns mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuhusiana na posho yuko wapi kuwatetea madaktari wenzake?au leo hii baada ya kukwaa ubunge amesahau?