Daktari aliyefukuzwa Muhimbili atoa ushuhuda (kipindi cha njiapanda)...

Sijui tuwasaidie vipi hawa madaktari wetu sisi walalahoi, kwasababu wenye uwezo wa kuwasaidia hawana shida nao.
 
bunge naongezewa posho mpaka rupee 200 sorry laki 2 kwa kikao moja at the same tyme gvt not able 2 pay intern, does this click to ur brain???
 
eti waziri wa afya anasema interns hawa hawajafukuzwa lakini anasisitiza warudi wizarani kupangiwa vituo vingine.
swali langu kwa kipindi chote wanachofanya utaratibu wa kuwahamisha je wagonjwa wa muhimbili watahudumiwa na nani?
je ni nani atalipa gharama za kurelocate hawa vijana?sababu ya kuwapangia vituo vingine ni ipi?kama hawa interns ni tatizo ina maana gani kuhamishia tatizo sehemu nyingine?wakuu naona huyu waziri anatafuta mgogoro wa ajabu.
 
Back
Top Bottom