Dakitari huyu naye kafunguka

Dakitari huyu naye kafunguka

Wazungu wakisikia kuhusu huu ujinga tunaofanyiana huku kwetu wanatamani warudi watutawale Tena ili akili zitukae sawa.
 
Modest Bafite atoa maoni yake kuhusu Jackline anayedaiwa kutobolewa jicho na kung'olewa jino na mzazi mwenzie

"Ni HAKI ya wanasiasa kuwachukulia watanzania kama wajinga maana wenyewe hu react kama wajinga, hata wale waliosoma still huwa wanakuwa na reaction za kijinga kushabikia upuuzi, hivi mnajuwa kutobolewa macho nyie? Mnajua kung’olewa jino kwa plaizi bila ya ganzi?,

yaani Ung’olewe Jino na Kutobolewa macho halafu uruhusiwe kutoka hospital ndani ya masaa 24, ufanyiwe interview uongee vizuri kabisa, acheni ujinga na upumbavu, kutobolewa jicho mchezo? Kitaalam Huyu binti angekuwa ametobolewa macho Lazima angefanyiwa upasuaji na mpaka Leo angekuwa hospitalini, kwa ufupi Huyu binti ni muongo kwa asilimia 100, ni vile tu wanaume siku zote huonekana wabaya hata kabla yakusikilizwa.

kama itathibitika ametobolewa macho naomba kuvuliwa udaktari, nikiwa na maana, wizara ya afya kupitia waziri Ummy Mwalimu aifute leseni yangu, Nipo tayari kuachana kabisa na udaktari endapo itathibitika mtu alietobolewa macho anakuwa kama Huyu binti.

N.B: Naomba nieleweke Si support ukatili wa kijinsia.View attachment 2641544

Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo huiwezi tena mkuu.

Cha kushangaza hata mama mkuu nae aliingizwa kwenye mkumbo. Kiasi kwamba itasababisha upande wa pili usisikilizwe kwa sababu ya tamko.
1st of all ni kujiuliza ilikuaje huyu akatoka kwa mume wa ndoa na kwenda kwa jamaa aliyemtendea haya.

Si ajabu haya alitendewa baada ya kujulikana anamhama tena na huyu aende kwa mwinhine.

Hatusupport kipigo alicjokipata ila inabidi haki itendeke. Ukiguatilia sana unaeza kuta jamaa alitendewa mabaya haswa kwanza yaliyosupportiwa na wazazi wa binti na ndo maana mwisho wa siku akamleta na kumuacha nje ya nyumba yao kwao
 
Katumia nguvu kubwa sana kueleza jambo la kawaida sana, hiyo nguvu na determination angeitumia kufanya mambo mengine ingesaidia jamii, anacholenga ni nini?
 
Hivi mpaka sasa wanaume baadhi wameshindwa kuukubari ukweli kuwa mke hayuko kwenye orodha ya assets wanazomiliki!!!
Kama ni hasira mbona kwenye mengine wanaidhibiti na kutulia.
mf ni ccm. Na bado hasira zimedhibitiwa vizuri tu.
1.Tuboreshe mtaala haraka elimu ya kujitambua ianze
2. Elimu ya lishe na afya ya akili itiliwe mkazo wagonjwa wamezid wa malaria
 
Bongo huiwezi tena mkuu.

Cha kushangaza hata mama mkuu nae aliingizwa kwenye mkumbo. Kiasi kwamba itasababisha upande wa pili usisikilizwe kwa sababu ya tamko.
1st of all ni kujiuliza ilikuaje huyu akatoka kwa mume wa ndoa na kwenda kwa jamaa aliyemtendea haya.

Si ajabu haya alitendewa baada ya kujulikana anamhama tena na huyu aende kwa mwinhine.

Hatusupport kipigo alicjokipata ila inabidi haki itendeke. Ukiguatilia sana unaeza kuta jamaa alitendewa mabaya haswa kwanza yaliyosupportiwa na wazazi wa binti na ndo maana mwisho wa siku akamleta na kumuacha nje ya nyumba yao kwao
Hatusupport kipigo alicjokipata ila inabidi haki itendeke.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom