Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,092
Modest Bafite atoa maoni yake kuhusu Jackline anayedaiwa kutobolewa jicho na kung'olewa jino na mzazi mwenzie
"Ni HAKI ya wanasiasa kuwachukulia watanzania kama wajinga maana wenyewe hu react kama wajinga, hata wale waliosoma still huwa wanakuwa na reaction za kijinga kushabikia upuuzi, hivi mnajuwa kutobolewa macho nyie? Mnajua kung’olewa jino kwa plaizi bila ya ganzi?,
yaani Ung’olewe Jino na Kutobolewa macho halafu uruhusiwe kutoka hospital ndani ya masaa 24, ufanyiwe interview uongee vizuri kabisa, acheni ujinga na upumbavu, kutobolewa jicho mchezo? Kitaalam Huyu binti angekuwa ametobolewa macho Lazima angefanyiwa upasuaji na mpaka Leo angekuwa hospitalini, kwa ufupi Huyu binti ni muongo kwa asilimia 100, ni vile tu wanaume siku zote huonekana wabaya hata kabla yakusikilizwa.
kama itathibitika ametobolewa macho naomba kuvuliwa udaktari, nikiwa na maana, wizara ya afya kupitia waziri Ummy Mwalimu aifute leseni yangu, Nipo tayari kuachana kabisa na udaktari endapo itathibitika mtu alietobolewa macho anakuwa kama Huyu binti.
N.B: Naomba nieleweke Si support ukatili wa kijinsia.
Sent using Jamii Forums mobile app