Dakika za Nyongeza Huongezwa na Nani?

Dakika za Nyongeza Huongezwa na Nani?

Wakuu

Nachokoza tu hapa (rhetorically) maana naona huu mjadala ulianza kushika kasi tangu mechi ya fainali ya ATL na Real Madrid na jana imejitokeza katika mehi ya Starz na Zim zilipoongezwa dk 7

hivi hizi dk huongezwa na nani? ni fourth official (huku kitaa wanasema kamisaa) au match referee ?

Jibu Ni Rahisi Tu Mkuu Dakika Za Nyongeza Huongezwa Na Yule Referee Wa Mechi Ya Taifa Stars ( Tanzania ) Na The Mighty Warriors ( Zimbabwe )...........KUDADADEKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jibu Ni Rahisi Tu Mkuu Dakika Za Nyongeza Huongezwa Na Yule Referee Wa Mechi Ya Taifa Stars ( Tanzania ) Na The Mighty Warriors ( Zimbabwe )...........KUDADADEKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hii kali sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom