Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
Huyu jamaa kani impress na maelezo yake. Nimependa alivyosema haongelei siasa bali uchumi na maendeleo. Na kweli katika kipindi kajitahidi mno kutkuonyesha any political bias, in fact sidhani kama kajitahidi bali ni hulka yake.
Nafkiri ni kati ya viongozi wachache geniune.
Pia nimefurahi kusikia kauli yake ya kwamba lazma TANESCO ivunjwe na ijengwe TANESCO mpya!! Unajua tulishasahau kero za umeme tulizopata mwaka jana na upuuzi wa TANESCO.
Thanks Prof, naomba tu usije ukahamishwa wizara kabla ya sisi kuona matunda yako!