alicho sema mlugo kuwa suala lile halikupaswa kusemwa pale ni sahihi sana. huyo mtangazaji hazimtoshi anapenda cheap popularity.
Wewe na mwenzio Mlugo tu mnaweza ku-oment hivi. Elezea. Ni kwa namna ipi hayo uyasemayo ni kweli?alicho sema mlugo kuwa suala lile halikupaswa kusemwa pale ni sahihi sana. huyo mtangazaji hazimtoshi anapenda cheap popularity.
na wewe akili yako ni kama Mlugo tu huko africa kusini mlugo alienda kama nani na hapo mlugo alikuwa anahojiwa kama nani? jiheshimu na heshimu uwezo wako wa kufikiria
Hahahahaha hahahahahaa. Mie narekodi kabisa, just in case.
Mfumo kirsto huo unafanya kazi.
Huyu jamaa bure kabisa, anaposema amewahi kupata sifuri ya sifuri kwenye mtihani , hii maana yake nini ? Elimu ya tanzania imeingiliwa
King Kong III keshaiweka kwenye post namba 40 hapo juu.Utanipa na mie ninakili niwe nasikiliza kama burudani