Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,468
Maisha yana Fumbo kubwa lakini Kifo kina Fumbo Pana
Ulitaka wakisha kuzika wafanyaje? Na wao wajizike?
Usiogope ukifa ndo imeisah hiyo ni sawa na kupigwa sindano ya usngizi ukiwa kwenye chumba cha upasuaji
Demu mbona walishaanza kumtongoza zamani na wewe ukiwepo?😄Na demu wako wataanza kumtongoza
😅😅😅😅Ulitaka wakisha kuzika wafanyaje? Na wao wajizike?
Hatari sanaMambo ndio yako hivyo mkuu
KabisaaaSasa ulitaka wafanyaje?
Ndio ushakufa sasa acha maisha yasonge tu