dakika 17 kuvuka mto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dakika 17 kuvuka mto

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Yo Yo, Sep 27, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Usiku mmoja Watu wanne walitaka kuvuka toka upande mmpoja wa mto kuelekea ng'ambo ya pili wakiwa na taa moja.... wanatakiwa wavuke mto at a time,kwa watu wawili either one or two people, must have the flashlight to see.Taa inatakiwa ukishavuka irudi ili kusaiadia wengine kuvuka,hutakiwi kuirusha...watu wote wanavuka kwa speed tofauti tofauti n aifahamike kuwa wawili hao lazima watembee pamoja at a rate of the slower person's pace.....mtu wa kwanza anatumia dakika 1 kuvuka mtu wa pili anatumia dakika 2 kuvuka wa tatu dakika 5 kuvuka wa nne anatumia dakika 10 kuvuka....

  chakachua akili yako wavuke hao jamaa kwa dakika zisizozidi 17
   
 2. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yaani Yo Yo sipendi hesabu za kuumiza kichwa hivyo.
  Nipe ela nikuesabie itakuwa poa...
  Wasubiri wataalamu waje, mi ntagezea..ngoja nijidai kama nacalculate..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...