misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
asante wangu! Unajua kuna wik unaweza isi Mungu anakujaribu jaman.Yes, this is Chit-Chat!...No doubt!:biggrin1:
By z way, pole kwa kupoteza hizo docs...
Yani kuanzia j3 ilikua mbaya kwangu. Mara nikose viquiz vya marks tano tano, mara niumwe mara lecturer anikwaze, mbaya zaidi ni nilipopoteza wallet yangu ikiwa na vitambulisho muhimu (card ya bank na kitambulisho cha chuo) na vipesa kidogo. Kwakwel it z terrible. Hope kuanzia j3 itakua njema.
Hey ... Those things hufanya sisi jamii tupate a beta you... Utasoma zaidi, utakua makini zaidi, utapigika kidogo hivyo kukufanya uwe stronger... etc.... And yes look forward to another Mon... WARNING!!! Mondays are always blue...lol
he he he he lol
TENA LOL
Mhuuu...natamani kweli mwakani ufike!!
Skye.............!!!!'???????¿¿¿¿¿¡¡¡¡¡
Hahahha ishu gani wewe???Embu njoo basi na wewe...nimechoka kuchakachua thread ya watu!eehhhh daaahhhh
kama ni kuhusu ile ishu
hata mi nataka mwaka uishe hahaha lol
Tarehe ya ndoa ifike!
Hahahha ishu gani wewe???Embu njoo basi na wewe...nimechoka kuchakachua thread ya watu!
Sasa muda wote nasisitiza unitafute naona unaleta pozi....fanya hivyo basi nikupe umbea!!!Alafu wapi desh desh¿¿hahahaah lahh
siwezi kmwaga mchele kwenye kuku wengi..
ile ishu ya migombani umeisahau hahahahah lol
khaaa itabidi nikutafute ..mmmhhh
asap itafaa zaidiLini niwakilishe mchango??
asap itafaa zaidi
mmmh bora ya mie sas, tatizo nin?Mi nataka mwaka uishe....
Pole ae
I hope wiki inayokuja itakuwa
tofauti na utapata ulivyopoteza.
mimi binafsi nashukuru wiki
iliyopita imeisha..