Dah! Wakuu, nahisi nimegongewa

Dah! Wakuu, nahisi nimegongewa

Hakuna kitu kinauma Kama hiki mkuu
Sikumoja nlikua na m...h mwanamke nlowahi kumpenda Sana
Akanambia Noah ikitokea Mimi nmekusaliti wewe basi sitopokea hata simu zako
Akaenda field dar.....aise
Hawa viumbe waskiage tu
Baada yakubadilika Sana kunasiku nampgia hapokei[emoji26][emoji26][emoji18][emoji18] kumbe Jana yake ametoka kuchapika

Atanikumbuka

kelphin kepph
Sasa sijui nikikuta mzigo umepitiwa nipite na mimi au niache na niachane nae mazima mana maumivu yake dah!! [emoji24] yan bora asingekua bikra ata nisingejua maana kuchapiwa ni kawaida sometimes ila sio uchapiwe alafu ujue
 
Tatizo Limoyo limekwama uko apa nipo nalivuta kwa nguvu soon ntalitoa[emoji23][emoji23] yan nikiwaza kumtoka nashindwa aise kupenda ni usenge [emoji23] mwili unataka kutoka ila moyo unazingua
dogo roho inakuuma kwa umegongwa wewe?relax,life has many options. Afu wewe bado mdogo,unasafari ndefu ya kugonga na kuacha so huna haja ya kubwaga moyo mahali,kuwa baharia
 
Ndio mkuu nafahamu na ilisha wai nitokea pia (ila ni hatari kwa afya)
ushawahi kupiga demu anayemalizia bleed, yaani kama anableed siku3 we ukipiga siku ya nne unaweza kutana na tudamu flani twepesi flani hivi
Kwa kesi ya uyu Dogo ni tofauti kidogo alikua sealed kabisa nakwambia
 
Ndio mkuu nafahamu na ilisha wai nitokea pia (ila ni hatari kwa afya)
Kwa kesi ya uyu Dogo ni tofauti kidogo alikua sealed kabisa nakwambia
Haya mkuu.Pambana upige mara ya pili ila bikra hutoka mara moja tu na damu sio Kigezo pekee cha bikra kutoka, hiyo damu chache inatosha, hutakuta damu tena mkuu
 
Pole mtoa mada hapa unataka tu uthibitisho kua bikra hamna...ila unachokiwaza ndo sahihiii umesalitiwa
 
Sasa sijui nikikuta mzigo umepitiwa nipite na mimi au niache na niachane nae mazima mana maumivu yake dah!! [emoji24] yan bora asingekua bikra ata nisingejua maana kuchapiwa ni kawaida sometimes ila sio uchapiwe alafu ujue
Haha pita nae tu

kelphin kepph
 
[emoji23] apo kwenye Bila ndomu apo ndio panauma aiseee ila......mh kunizingua anizingue kuliwa aliwee haha siachi naweka napita ivi

Kama katolewa bikra mdogo angu hiyo ni kavu kavu hawatoag bikra na ndomu labda sio Tanzania hii, pambana utakuja kuniambia hapa 🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bora nisijue ila kibaya nitajua ndio maana yani ila nalo litapita tu
Pole mtoa mada hapa unataka tu uthibitisho kua bikra hamna...ila unachokiwaza ndo sahihiii umesalitiwa
 
Back
Top Bottom