Dah! Wakuu, nahisi nimegongewa

Dah! Wakuu, nahisi nimegongewa

We unacho angelea mbona ni tofauti na utoto sasaWith no any reason hanipendi sawa nimekubali nitatafuta mwingine sasa hapo kuna utoto gani?
Topiki yako ina mambo mengi sana ya kitoto kama ukisoma btn lines. Wewe mwenyewe huwezi kujua jinsi ulivyo na utoto ila watu wazima tunaona
 
Kwani shida iko wapi? Nawe si ulimsaliti?
Huyo ndio wa kufanana nawe, hivyo tulia tu myajenge.
 
Cha kwanza ujinga ni wa kwako ,umekaa na mtu siku nzima ukashindwa mvunja,kingine huyo keshakutana na mafundi wamemntoa hiyo bikra na hapo anatafuta namna ya kufanya angalau misuli ibane ili usijue na cha kukushauri tu KUNA BIKRA FEKI NOW DAYS !

☆E pluribus unum☆
 
Siku nzima nimesema Wapi?
Cha kwanza ujinga ni wa kwako ,umekaa na mtu siku nzima ukashindwa mvunja,kingine huyo keshakutana na mafundi wamemntoa hiyo bikra na hapo anatafuta namna ya kufanya angalau misuli ibane ili usijue na kukushauri tu KUNA BIKRA FEKI NOW DAYS !

☆E pluribus unum☆
 
kuna mambo ambayo nimesha chagua yasiniumize kichwa.Na huwa naomba Mungu anisaidie .La kwanza ni hili la mapenzi.STUPID
 
Wanaume wengi tuna hulka ya kujifanya wajuaji kwenye Hili swala wakati ni tofauti na Uhalisia wake wengi ni Maneno Mengi tu mdomoni Bikra haitolewi kama kamasi
[emoji23][emoji23][emoji23]endelea kujipa moyo, we sema umeshindwa basii ,sasa kama haitolewi kama kamasi imekuwaje umesaidiwa kuvunjiwa?? Binafsi nishatoa si chini ya nne tena wote wana ukaribu mkuu shida ni wewe mwenyewe na manzi keshaona wewe uko na ufala mob ,hapo jiandikie maumivu hautakaa upige hiyo pussy tena kama ungekuwa mjanja ungeshachapa siku hiyo hiyo

☆E pluribus unum☆
 
Kwa taarifa yako , Huyo mwanamke atakuja kukwambia alienda kufanyiwa operation (Baada ya last checkup), wakamkoroga na wakatoa bikra.

Ni uongo wa kitoto ila ujue ndio unachokuja kuambiwa, Brace yourself ..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ameshindwa hata kujua trick ndogo kama hii huyu jamaa?? Ndo shida ya kujua mapenzi ukubwani,na hapo manzi kacheza na akili mno sasa jiulize hiyo checkup inafanywa vipi bila kuingiza kipimio huko chini?? (Ultrasound device)

☆E pluribus unum☆
 
Naona wengi wamekupa ushauri acha na mimi nikushauri kidogo. Kwanza, sijui una umri gani ila inaonesha kama umeonja tunda labda mawili au matatu tu katika maisha yako. Sasa acha wazee wa kazi tukuambie:
1. Hakuna bikra 2 bali ni moja tu nayo unasema uliitoboa kwa sababu uliona damu japo kwa mbaaali. Ukitoboa bikra sio kwamba atamwaga damu debe au ndoo. Wengine ka ulimwandaa vizuri hutoa tone tu na linachanganyika na wale waarabu wanaotokaga huko kwake (manii yako) yaliyozidi humo kwake hujitokea tu.
2. Wewe umenogewa na hayo makurumembe kwani waangusha tu na kupandia bila kukuru kakara kwani wenzio wesha jimalizia makelele yao na kuwaacha maporomoko hivyo ukiingia unaporomokea tu. Sasa huyu ukimkuta kakuheshimu na siku hiyo baada ya mfungo amejiweka tiyari kukupokea kwa heshima na ule ute ute wake wa hamu nawe utaona tiyari nilichapiwa.
Oa huyu mtoto wa watu. Sio hayo ma used uliyo chepukiamo'
Ati unaogopa walim.. bila kinga. Si angekuwa tiyari kishavimbiwa? Hayo makurumembe ulikuta kinga humo au ulienda na ya kwako. Acha kumdhalilisha mtoto wa watu
 
Wewe ulimla kavu ukashindwa kumaliza , unataka anaemalizia avae ndomu ? who are you ? Mwalimu mkuu alafu anaemalizia mwalimu wa kawaida ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787], we kama unampenda endelea nae kakutana na wazee wa kuzivunja kiroho mbaya, nakumbuka wakati nasoma kuna jamaa tulikuwa tunamwita mbakaji yan yeye mwanamke akienda gheto kwake hata kama yupo kwene siku zake atapigwa pipe tu hata iweje.

Usije ukajinyonga wala kumlaumu mtoto wa watu alikuwa na nyege angefanyaje ?? na wewe ulimwonyesha huwezi ?

Nakufundisha kitu ukikamata mwanamke una shida ya kuwepo nae mpige pipe kisawasawa usimwonee huruma wanajifanyaga wanapenda wanaopenda huruma kumbe ni ze opozite..UKILETA ZA KIBISHOO UNAKWENDA NA MAJI NA NDIO KILICHOTOKEA


Sent from my iPhone using JamiiForums
Na usikute huyo jamaa yako baada ya hapo alikuwa anatafutwa tena na hao mademu [emoji23][emoji23]

☆E pluribus unum☆
 
Ee bhana nikiri ukweli tu hapa naona kila dalili za kugongewa!

Huyu dem nilikutana nae Kilakala Sekondary kipindi nikiwa kidato cha Nne na yeye akiwa kidato cha nne Bythat time nilikua Seminary moja ivi Famous Pale Morogoro basi bhana honestly yule dogo naweza nikasema ndo msichana wa kwanza kuuteka moyo wangu and from there we stated a journey of love together na tulipendana sana japo kwa sasa tupo kwenye hard time kidogo.

Basi bwana maisha yakasonga mwanzo ilikua ngumu kidogo kunielewa maana alikua ana aibu sio kidogo yani alafu ndo kwanza alikua anaanza anza mapenzi basi ikaenda as it wen't skuwa na papara sana maana nilitokea kumuona kama mtu wangu wa future so skutaka kuanza mambo yetu yalee...and later on nilikuja kugundua she is virgin maana alinipromis we will have Sex tukimaliza Kidato cha Sita.

Basi tukamaliza kidato and the day come tuka plan kusex bwanae si tukameet kuja kucheki Mzigo ulikua Sealed 100/100%. Ila hapa tulimeet on deadline alikua anatakiwa arudi kwao ni Mkoani na Alikuja Dar na ndipo tulikulana uku uku Kutokana na iyo Deadline na Yeye kuwa Virgin Nikiri sikuweza kuimaliza ile Bikra kabisa and it was almost nothing maana ilikua patashika umo ndani basi ikaisha ivyo bila bila naweza nikasema ivyo maana mzigo haukuzama kabisa japo alinza kutokwa na Damu kwa mbali nikaona isiwe kesi acha nitamtaftia Target nyingine nimalizie mchezo. Basi akarudi Chuo.

Na pia ilikua ni Long distace Relationship japo tuliweza kumudu vizuri tu na hakukua na shida ila tulikua tunaonana several times basi bwana maisha yakenda.

Balaa laanza

Kuna kipindi kweli tulikua tunapishana kauli hii ni hali ya kawaida kwenye mahusiano so haikuwa big deal kosa kwangu naomba msamaha kosa kwake anaomba msamaha. Ila safari hii alianza kubadilika sometimes nikimwambia anakuja juu na yeye yani hamna kukubali kitu sasa apo Hasira zangu Plus zake No conclusiona at all yani akikosa ukimwambia kosa lake hawezi kubali tutabishana kusolve mpaka siku inaisha ila hata haombi msamaha kama mwanzo hii ndio chanzo cha kupishana maana yani anafikia kunifokea kisa namrekebisha!!? Sasa ikiwa nikiomba msamaha anakubali lakini yanakua yale yale yani hakutafuti tena kama mwanzo simu nikipiga ndo kama ivyo hapokei mostly na Visingizio kibao Visivyo na Msingi kwani namjua vizuri so nilisha anza kuona kama kuna mtu anampa jeuri


Nikawa mpole akawa anakauli za kikabe sana mi wala mpole tu aise kupenda bwana acheni tu. Na ilifika kipindi siku moja au mbili zinapita bila kunitafuta but skujali mi nikawa namtafuta sometimes hapokei na akimiss call no any feedback Texts akawa hajibu au anajibu vle anajisikia short answers kama zote yani basi tu apa ndipo nilihisi tayari kesha pata mtu mwingine.

Na inaonekana anajua kabisa nampenda na ndio kosa kubwa nililofanya sasa apo ikawa kama bakora ya kunichapia yani akijua siwez kumwacha basi nilijikaza kweli yani lakini kila nikijaribu kumuacha nashindwa. Ilifika kipindi nikawa na kamchepuko lakini wala ata Moyo wangu haupo apo na hata akili haipo apo kuchepuka kweli nilichepuka apa nakiri ila Sikuwai kumuonyesha Dharau au viashiria vyovyote mpaka kunihisi kwamba nna mchepuko maana nilikua namjali as if nothing has happened

Basi nilijitahidi kweli kurudisha Penzi kwenye Mstari kwa nguvu kubwa sana maana kwa hali aliyo itengeneza angekua ni mwanaume mwingine angesha mpotezea na wakaachana. Akaanza kurudi kidogo tukawa tunachart sasa ata simu nampigia anapokea kidogo

Basi Bwana Juzi kati akawa anakuja Dar bwana nikaomba tuonane basi tusuluhishe yaliyo tokea akasema sawa Leo nikasema tutoke kwanza tuende pamoja sehemu tukaongea ofcorse tumezungumza vizuri kwa siku ya leo na tukapanga Kesho kutwa tukae tusuluhishe na kuweka mambo sawa.

Kilicho nifanya nihisi Nimesha chapiwa na Huenda Nachapiwa ni Hiki apa:


Kwanza ata simu yake saivi nikiishika Hakai kwa amani na sometimes hataki na mimi wala sikuomba ilitokea tu nilikua namuelekeza kitu kwenye Simu nikaona anavyo kua na wasiwasi na Woga.

Kwenye mazungumzu ya leo bwana nikachomekea swala la usaliti katika mahusiano kupima response yake maana nilihisi ivyo maana sio kwa kubadilika kule japo tulivyo onana tumeonana vizuri tu tumekula na kunywa pamoja as if hakuna tatizo na ivi ukizingatia ni Mambo yetu ya ndani mimi na yeye so kwa leo nilipanga tuonane kwanza.

Basi tulianzia mbali kwenye inshu ya usaliti utani mwingi wa hapa na pale na nikamwambia mimi naweza kua nimekusaliti ila kwakua sikukuonyesha viashiria vyovyote basi ni ngumu sana kunihisi japo kwa wewe ulibadilika sana na sikuchoka kukusihi tuyamalize (apa ilikua kama utani iv uku tunacheka) si nikamchomekea kwa kumwambia kama utakua umenisaliti nitajua maana anajua fika kwamba mimi bado namtambua kama Virgin so sitegemei "kukuta mlango uko wazi" nikimaanisha atakua Bado yupo kama nilivyo mwacha..

Na kumwambia kama kweli alifanya ivyo basi atakua kaniumiza sana maana tayari nitajua kutokana na hali niliyo mwacha nayo dah hii kweli niseme ni kitu ambacho naomba nisikikikute maana nikikuta ameshapitiwa ni automatically nitajua na bora ata asinge kua bikra maana ata kama angekua kacheza rafu nisinge jua na nisinge waza swala la yeye kunisaliti saaaana coz ata kama alionyesha dalili kama ana mtu anae mpa jeuri ila kwa hali hii ya yeye kutomkuta Bikra aise wakati nilimwacha bikra inaniwazisha sana. Mwanzo nilimwambia ukija naomba tukutane tena kimwili si akaniambia ana tatizo sijui la nini kwenye kizazi amekutwa na Uvimbe nika mwambia mbona hukuniambia unaumwa na una tatizo kubwa ivyo?? na kwanini uniambie ivyo baada ya mimi kuomba Game? akazunguka weee mwishowe akakiri kuwa kosa ni lake nimsamehe ila nisubirie mpaka mwezi wa nne kwani ndio ataenda kufanya last checkup kwani kwa sasa yupo kwenye Dozi. nikamwambia sina haraka wewe mfungo utaisha na Tutakutana japo yeye alifikiri nna haraka sana akaanza kunizungusha zungusha. ata iyo kukutana yenyewe kaiwekea mwishoni mwa mwez wa nne mi nikawambia sawaa kwani shida iko wapi.

Tulisisitizia sana swala la Ukweli kwamba ni bora siku zote mtu akawa tayari kupokea ukweli wowote no matter what uo ndio ukweli na niliingizia hii topic nione kama angeniambia chochote kuhusu usaliti maaana sio kwa kuni treat rafu vile..

Akaniuliza kwani wewe kinacho kuumiza hasa ni nini ukikuta hali sio sawa na ulivyo tegemea? (yani sio bikra) nikaonyesha kama kusononeka yani mwanaume nangojeshwa weee alafu anakuja kupita mtu mwingine kizembe nikamjibu hivi


Maumivu yake ni makali zaidi ya anavyo fikiria yani ni bora usinge kua Bikra (imagin mtu unampenda umemkuta bikra na kukubali kunsubiria alafu ukute haipo) na nikijua aise sielewi itakuje kwani

Kwanza atakua kanisaliti wazi wazi akijua au kutokujua kwamba nitajua

Pili kafanya vile bila Kinga maana kama amelala na mwanaume mwingine kwa ile hali yake ni lazima apige kavu uli kusawazisha ile Bikra yake kwani kwa Kinga asinge weza Kupita.

Hapa wakati nazunguza nae nilifanya kumkazia sura na nilikua nafanya kama kumuuliza swali aise alibadilika ghafla akawa mpole na alianza kushikwa na kigugumiz flan iv cha mbali hii kitu ilinistua sana nikahisi apa tayari keshaliwa


(DAH VUTA PICHA YANI..)


1. UMESALITIWA
2. BILA KINGA
3. BIKRA IMEENDA
4. NA UNAJUA
5. NA NI MTU ULIE KUA NA MALENGO NAE)[/b]

Mwanaume apa ungefanyaje?

Nasubiria Mfungo uishe maana tumeplan tumeet tena i mean tukutane kimwili sasa apa sijui nikikuta sio bikra tena nimfanyeje..
Utoto bana.
 
Hebu tuwekana sawa kwanza maana ya kuchapiwa..
Mkeo akiliwa na mwanaume mwingine hapo UMECHAPIWA
Ila mwanamke ambae haujafunga nae ndoa HAUWEZI KUCHAPIWA, huyo bado ni MALI YA UMMA..Anaekuwa nae kwa muda huo ndo mtu wake
Ata mke wako pia wako ukiwa unamgegeda lakini akishagoka ndani ya nyumba kaa ukijua yoyote yule abaweza kumgegeda.
 
Hutoweza kuitoa kama muhusika hajatulia unaweza ukapigwa teke za Pumbu[emoji23] achilia mbali ayo mayowe ya humo ndani utafikiri unauwa mtu
Bana mikono na miguu kwa pamoja wapo flexible wala hawapati maumivu yoyote,na baada ya hapo atakutafuta tena mwenyewe shida ni kuwa uliweka huruma mbele ya paka na wakati paka haionewagi huruma

☆E pluribus unum☆
 
Siku nzima nimesema Wapi?
Nime assume kwa kuwa alipitia DSM akiwa anaenda kwao so sitarajii mlikaa nusu saa , ila ndo ujifunze mkuu uskute washavunja na jicho wahuni.

☆E pluribus unum☆
 
Back
Top Bottom