Dah! Wakuu, nahisi nimegongewa

Dah! Wakuu, nahisi nimegongewa

Keshakuona boya, anaeenda ipiga malimau, kwa mwezi mzima bila kuguswa inakua ngumu.

Kutaka kuijua ni simple, itakua ngumu mwanza, ila ghafla break ni makende.
[emoji23][emoji23] sawa sawa
 
Yani watu wengine mmezaliwa Bahati mbaya mnaishi kwa makusudi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kinacho kufanya uanze kunitukana mara ngedere mara kenge ni nini? au wewe ndo demu wangu nini
choko tuu wewe
 
Ee bhana nikiri ukweli tu hapa naona kila dalili za kugongewa!

Huyu dem nilikutana nae Kilakala Sekondary kipindi nikiwa kidato cha Nne na yeye akiwa kidato cha nne Bythat time nilikua Seminary moja ivi Famous Pale Morogoro basi bhana honestly yule dogo naweza nikasema ndo msichana wa kwanza kuuteka moyo wangu and from there we stated a journey of love together na tulipendana sana japo kwa sasa tupo kwenye hard time kidogo.

Basi bwana maisha yakasonga mwanzo ilikua ngumu kidogo kunielewa maana alikua ana aibu sio kidogo yani alafu ndo kwanza alikua anaanza anza mapenzi basi ikaenda as it wen't skuwa na papara sana maana nilitokea kumuona kama mtu wangu wa future so skutaka kuanza mambo yetu yalee...and later on nilikuja kugundua she is virgin maana alinipromis we will have Sex tukimaliza Kidato cha Sita.

Basi tukamaliza kidato and the day come tuka plan kusex bwanae si tukameet kuja kucheki Mzigo ulikua Sealed 100/100%. Ila hapa tulimeet on deadline alikua anatakiwa arudi kwao ni Mkoani na Alikuja Dar na ndipo tulikulana uku uku Kutokana na iyo Deadline na Yeye kuwa Virgin Nikiri sikuweza kuimaliza ile Bikra kabisa and it was almost nothing maana ilikua patashika umo ndani basi ikaisha ivyo bila bila naweza nikasema ivyo maana mzigo haukuzama kabisa japo alinza kutokwa na Damu kwa mbali nikaona isiwe kesi acha nitamtaftia Target nyingine nimalizie mchezo. Basi akarudi Chuo.

Na pia ilikua ni Long distace Relationship japo tuliweza kumudu vizuri tu na hakukua na shida ila tulikua tunaonana several times basi bwana maisha yakenda.

Balaa laanza

Kuna kipindi kweli tulikua tunapishana kauli hii ni hali ya kawaida kwenye mahusiano so haikuwa big deal kosa kwangu naomba msamaha kosa kwake anaomba msamaha. Ila safari hii alianza kubadilika sometimes nikimwambia anakuja juu na yeye yani hamna kukubali kitu sasa apo Hasira zangu Plus zake No conclusiona at all yani akikosa ukimwambia kosa lake hawezi kubali tutabishana kusolve mpaka siku inaisha ila hata haombi msamaha kama mwanzo hii ndio chanzo cha kupishana maana yani anafikia kunifokea kisa namrekebisha!!? Sasa ikiwa nikiomba msamaha anakubali lakini yanakua yale yale yani hakutafuti tena kama mwanzo simu nikipiga ndo kama ivyo hapokei mostly na Visingizio kibao Visivyo na Msingi kwani namjua vizuri so nilisha anza kuona kama kuna mtu anampa jeuri

Nikawa mpole akawa anakauli za kikabe sana mi wala mpole tu aise kupenda bwana acheni tu. Na ilifika kipindi siku moja au mbili zinapita bila kunitafuta but skujali mi nikawa namtafuta sometimes hapokei na akimiss call no any feedback Texts akawa hajibu au anajibu vle anajisikia short answers kama zote yani basi tu apa ndipo nilihisi tayari kesha pata mtu mwingine.

Na inaonekana anajua kabisa nampenda na ndio kosa kubwa nililofanya sasa apo ikawa kama bakora ya kunichapia yani akijua siwez kumwacha basi nilijikaza kweli yani lakini kila nikijaribu kumuacha nashindwa. Ilifika kipindi nikawa na kamchepuko lakini wala ata Moyo wangu haupo apo na hata akili haipo apo kuchepuka kweli nilichepuka apa nakiri ila Sikuwai kumuonyesha Dharau au viashiria vyovyote mpaka kunihisi kwamba nna mchepuko maana nilikua namjali as if nothing has happened

Basi nilijitahidi kweli kurudisha Penzi kwenye Mstari kwa nguvu kubwa sana maana kwa hali aliyo itengeneza angekua ni mwanaume mwingine angesha mpotezea na wakaachana. Akaanza kurudi kidogo tukawa tunachart sasa ata simu nampigia anapokea kidogo

Basi Bwana Juzi kati akawa anakuja Dar bwana nikaomba tuonane basi tusuluhishe yaliyo tokea akasema sawa Leo nikasema tutoke kwanza tuende pamoja sehemu tukaongea ofcorse tumezungumza vizuri kwa siku ya leo na tukapanga Kesho kutwa tukae tusuluhishe na kuweka mambo sawa.

Kilicho nifanya nihisi Nimesha chapiwa na Huenda Nachapiwa ni Hiki apa:

Kwanza ata simu yake saivi nikiishika Hakai kwa amani na sometimes hataki na mimi wala sikuomba ilitokea tu nilikua namuelekeza kitu kwenye Simu nikaona anavyo kua na wasiwasi na Woga.

Kwenye mazungumzu ya leo bwana nikachomekea swala la usaliti katika mahusiano kupima response yake maana nilihisi ivyo maana sio kwa kubadilika kule japo tulivyo onana tumeonana vizuri tu tumekula na kunywa pamoja as if hakuna tatizo na ivi ukizingatia ni Mambo yetu ya ndani mimi na yeye so kwa leo nilipanga tuonane kwanza.

Basi tulianzia mbali kwenye inshu ya usaliti utani mwingi wa hapa na pale na nikamwambia mimi naweza kua nimekusaliti ila kwakua sikukuonyesha viashiria vyovyote basi ni ngumu sana kunihisi japo kwa wewe ulibadilika sana na sikuchoka kukusihi tuyamalize (apa ilikua kama utani iv uku tunacheka) si nikamchomekea kwa kumwambia kama utakua umenisaliti nitajua maana anajua fika kwamba mimi bado namtambua kama Virgin so sitegemei "kukuta mlango uko wazi" nikimaanisha atakua Bado yupo kama nilivyo mwacha..

Na kumwambia kama kweli alifanya ivyo basi atakua kaniumiza sana maana tayari nitajua kutokana na hali niliyo mwacha nayo dah hii kweli niseme ni kitu ambacho naomba nisikikikute maana nikikuta ameshapitiwa ni automatically nitajua na bora ata asinge kua bikra maana ata kama angekua kacheza rafu nisinge jua na nisinge waza swala la yeye kunisaliti saaaana coz ata kama alionyesha dalili kama ana mtu anae mpa jeuri ila kwa hali hii ya yeye kutomkuta Bikra aise wakati nilimwacha bikra inaniwazisha sana.

Mwanzo nilimwambia ukija naomba tukutane tena kimwili si akaniambia ana tatizo sijui la nini kwenye kizazi amekutwa na Uvimbe nika mwambia mbona hukuniambia unaumwa na una tatizo kubwa ivyo?? na kwanini uniambie ivyo baada ya mimi kuomba Game? akazunguka weee mwishowe akakiri kuwa kosa ni lake nimsamehe ila nisubirie mpaka mwezi wa nne kwani ndio ataenda kufanya last checkup kwani kwa sasa yupo kwenye Dozi. nikamwambia sina haraka wewe mfungo utaisha na Tutakutana japo yeye alifikiri nna haraka sana akaanza kunizungusha zungusha. ata iyo kukutana yenyewe kaiwekea mwishoni mwa mwez wa nne mi nikawambia sawaa kwani shida iko wapi.

Tulisisitizia sana swala la Ukweli kwamba ni bora siku zote mtu akawa tayari kupokea ukweli wowote no matter what uo ndio ukweli na niliingizia hii topic nione kama angeniambia chochote kuhusu usaliti maaana sio kwa kuni treat rafu vile..

Akaniuliza kwani wewe kinacho kuumiza hasa ni nini ukikuta hali sio sawa na ulivyo tegemea? (yani sio bikra) nikaonyesha kama kusononeka yani mwanaume nangojeshwa weee alafu anakuja kupita mtu mwingine kizembe nikamjibu hivi

Maumivu yake ni makali zaidi ya anavyo fikiria yani ni bora usinge kua Bikra (imagin mtu unampenda umemkuta bikra na kukubali kunsubiria alafu ukute haipo) na nikijua aise sielewi itakuje kwani

Kwanza atakua kanisaliti wazi wazi akijua au kutokujua kwamba nitajua

Pili kafanya vile bila Kinga maana kama amelala na mwanaume mwingine kwa ile hali yake ni lazima apige kavu uli kusawazisha ile Bikra yake kwani kwa Kinga asinge weza Kupita.

Hapa wakati nazunguza nae nilifanya kumkazia sura na nilikua nafanya kama kumuuliza swali aise alibadilika ghafla akawa mpole na alianza kushikwa na kigugumiz flan iv cha mbali hii kitu ilinistua sana nikahisi apa tayari keshaliwa

(DAH VUTA PICHA YANI..)

1. UMESALITIWA
2. BILA KINGA
3. BIKRA IMEENDA
4. NA UNAJUA
5. NA NI MTU ULIE KUA NA MALENGO NAE)[/b]

Mwanaume apa ungefanyaje?

Nasubiria Mfungo uishe maana tumeplan tumeet tena i mean tukutane kimwili sasa apa sijui nikikuta sio bikra tena nimfanyeje..

St Peter na Lutheran Junior hapo morogoro mlikuwa washamba sana na bado naona ushamba wenu mnaendelea nao mpaka hivi leo!
Hii ndo sababu watoto wa Kilakala walikuwa wanatukubali sana vijana wa Mzumbe!
Just imagine eti nawewe unajikuta mjanja demu anakuahidi mtasex wakati fulani in the future then nawewe unaagree!
Unawekeana ahadi naye amekuwa roho mtakatifu huyo?

Nakumbuka enzi zile nipo advance mzumbe hapo tulikuwa tunawanyoa sana hao watoto wa kiley, ni mwendo wa kuwanyoa hadi humo humo shuleni kwao.
Kipindi hicho kuna Bond ilikuwa inaitwa MzuKila, (Sijui kama bado ipo now),
Waseminari mkawa mnatuwekea bifu watoto wa uzumbeni kwa kuwamegea watoto wa kiley kimasihara masihara.
Endeleeni na useminari wenu, wakija vijana wa uzumbeni waendelee kuwabandua vilakx
 
Na wewe umemfungukia kuwa ulikuwa na mtu au kwa sababu wewe huna ushahidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sehemu nimeona umeandika mlikulana,na wewe na yeye alikukula, au ni wewe ndio ulimla,ufafanuzi tafwadhali,usikute hilo ndio chanzo cha tatizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee Shame on You yani umechokoza na kuleta mada ambayo haisiani zaidi ya kuonyesha bifu lako na waseminari sijui kama mpaka saivi kuna mgogoro huo maana Mzumbe walikua wana tudiss sana Umenikumbusha mbali kiasi ila uliko gusa hata hakuhusiani ni Wivu wako tu.
St Peter na Lutheran Junior hapo morogoro mlikuwa washamba sana na bado naona ushamba wenu mnaendelea nao mpaka hivi leo!
Hii ndo sababu watoto wa Kilakala walikuwa wanatukubali sana vijana wa Mzumbe!
Just imagine eti nawewe unajikuta mjanja demu anakuahidi mtasex wakati fulani in the future then nawewe unaagree!
Unawekeana ahadi naye amekuwa roho mtakatifu huyo?

Nakumbuka enzi zile nipo advance mzumbe hapo tulikuwa tunawanyoa sana hao watoto wa kiley, ni mwendo wa kuwanyoa hadi humo humo shuleni kwao.
Kipindi hicho kuna Bond ilikuwa inaitwa MzuKila, (Sijui kama bado ipo now),
Waseminari mkawa mnatuwekea bifu watoto wa uzumbeni kwa kuwamegea watoto wa kiley kimasihara masihara.
Endeleeni na useminari wenu, wakija vijana wa uzumbeni waendelee kuwabandua vilakx
Bytheway Kwanza nikwambie tu ata iyo Event iliyo nilkutanisha na uyo Dem ilikua ni yenu mlipanga muwe na madem zenu kilay ila waligomaga kabisa kisa hawakua na reason ya maana kuwakata the only thing wanawataka Waseminari Basi sisi ni nani hadi tukatae? tukaenda bwana na hawakutana shule yoyote zaidi yetu sisi tukasema sawa hamna shida tukaenda.

Walichokua wanasema ni Kwamba Nyie ni mlichokua mnaweza ni misuli tu (and i appreciate it) Ila wengi ni Washamba shule yenyewe iko Porini hamkuwa Smart mpo hovyo hovyo tu. Mnanuka wengine walikua hawaogi ata na vile kucheza na nyie walikua hawawezi kabisa hamshawishi. This is true ata nikienda moro huwa nawaona mpaka sasa ivi mpo mpo tu ur not smart at all. wakaita watoto wa mjini sie tukaenda kiroho safi. Mbona alisema hayupo tayari nikasubiri muda ulipo fika tulifanya sema umekurupuka na hisia zako za Wivu mkuu kumbe bado una ule ushamba wako wa Mzumbe tu..[emoji23][emoji23]sasa form 4 nimesubiri alipo maliza 6 nikawekaa [emoji23]

Mind you watoto wa kike hawapendi wanaume wanao nuka na hovyo hovyo
 
Kama yupo mbeya, nipe namba yake...Huyo ni wa wote mzee?!!
Hebu tuwekana sawa kwanza maana ya kuchapiwa..
Mkeo akiliwa na mwanaume mwingine hapo UMECHAPIWA
Ila mwanamke ambae haujafunga nae ndoa HAUWEZI KUCHAPIWA, huyo bado ni MALI YA UMMA..Anaekuwa nae kwa muda huo ndo mtu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ee bhana nikiri ukweli tu hapa naona kila dalili za kugongewa!

Huyu dem nilikutana nae Kilakala Sekondary kipindi nikiwa kidato cha Nne na yeye akiwa kidato cha nne Bythat time nilikua Seminary moja ivi Famous Pale Morogoro basi bhana honestly yule dogo naweza nikasema ndo msichana wa kwanza kuuteka moyo wangu and from there we stated a journey of love together na tulipendana sana japo kwa sasa tupo kwenye hard time kidogo.

Basi bwana maisha yakasonga mwanzo ilikua ngumu kidogo kunielewa maana alikua ana aibu sio kidogo yani alafu ndo kwanza alikua anaanza anza mapenzi basi ikaenda as it wen't skuwa na papara sana maana nilitokea kumuona kama mtu wangu wa future so skutaka kuanza mambo yetu yalee...and later on nilikuja kugundua she is virgin maana alinipromis we will have Sex tukimaliza Kidato cha Sita.

Basi tukamaliza kidato and the day come tuka plan kusex bwanae si tukameet kuja kucheki Mzigo ulikua Sealed 100/100%. Ila hapa tulimeet on deadline alikua anatakiwa arudi kwao ni Mkoani na Alikuja Dar na ndipo tulikulana uku uku Kutokana na iyo Deadline na Yeye kuwa Virgin Nikiri sikuweza kuimaliza ile Bikra kabisa and it was almost nothing maana ilikua patashika umo ndani basi ikaisha ivyo bila bila naweza nikasema ivyo maana mzigo haukuzama kabisa japo alinza kutokwa na Damu kwa mbali nikaona isiwe kesi acha nitamtaftia Target nyingine nimalizie mchezo. Basi akarudi Chuo.

Na pia ilikua ni Long distace Relationship japo tuliweza kumudu vizuri tu na hakukua na shida ila tulikua tunaonana several times basi bwana maisha yakenda.

Balaa laanza

Kuna kipindi kweli tulikua tunapishana kauli hii ni hali ya kawaida kwenye mahusiano so haikuwa big deal kosa kwangu naomba msamaha kosa kwake anaomba msamaha. Ila safari hii alianza kubadilika sometimes nikimwambia anakuja juu na yeye yani hamna kukubali kitu sasa apo Hasira zangu Plus zake No conclusiona at all yani akikosa ukimwambia kosa lake hawezi kubali tutabishana kusolve mpaka siku inaisha ila hata haombi msamaha kama mwanzo hii ndio chanzo cha kupishana maana yani anafikia kunifokea kisa namrekebisha!!? Sasa ikiwa nikiomba msamaha anakubali lakini yanakua yale yale yani hakutafuti tena kama mwanzo simu nikipiga ndo kama ivyo hapokei mostly na Visingizio kibao Visivyo na Msingi kwani namjua vizuri so nilisha anza kuona kama kuna mtu anampa jeuri

Nikawa mpole akawa anakauli za kikabe sana mi wala mpole tu aise kupenda bwana acheni tu. Na ilifika kipindi siku moja au mbili zinapita bila kunitafuta but skujali mi nikawa namtafuta sometimes hapokei na akimiss call no any feedback Texts akawa hajibu au anajibu vle anajisikia short answers kama zote yani basi tu apa ndipo nilihisi tayari kesha pata mtu mwingine.

Na inaonekana anajua kabisa nampenda na ndio kosa kubwa nililofanya sasa apo ikawa kama bakora ya kunichapia yani akijua siwez kumwacha basi nilijikaza kweli yani lakini kila nikijaribu kumuacha nashindwa. Ilifika kipindi nikawa na kamchepuko lakini wala ata Moyo wangu haupo apo na hata akili haipo apo kuchepuka kweli nilichepuka apa nakiri ila Sikuwai kumuonyesha Dharau au viashiria vyovyote mpaka kunihisi kwamba nna mchepuko maana nilikua namjali as if nothing has happened

Basi nilijitahidi kweli kurudisha Penzi kwenye Mstari kwa nguvu kubwa sana maana kwa hali aliyo itengeneza angekua ni mwanaume mwingine angesha mpotezea na wakaachana. Akaanza kurudi kidogo tukawa tunachart sasa ata simu nampigia anapokea kidogo

Basi Bwana Juzi kati akawa anakuja Dar bwana nikaomba tuonane basi tusuluhishe yaliyo tokea akasema sawa Leo nikasema tutoke kwanza tuende pamoja sehemu tukaongea ofcorse tumezungumza vizuri kwa siku ya leo na tukapanga Kesho kutwa tukae tusuluhishe na kuweka mambo sawa.

Kilicho nifanya nihisi Nimesha chapiwa na Huenda Nachapiwa ni Hiki apa:

Kwanza ata simu yake saivi nikiishika Hakai kwa amani na sometimes hataki na mimi wala sikuomba ilitokea tu nilikua namuelekeza kitu kwenye Simu nikaona anavyo kua na wasiwasi na Woga.

Kwenye mazungumzu ya leo bwana nikachomekea swala la usaliti katika mahusiano kupima response yake maana nilihisi ivyo maana sio kwa kubadilika kule japo tulivyo onana tumeonana vizuri tu tumekula na kunywa pamoja as if hakuna tatizo na ivi ukizingatia ni Mambo yetu ya ndani mimi na yeye so kwa leo nilipanga tuonane kwanza.

Basi tulianzia mbali kwenye inshu ya usaliti utani mwingi wa hapa na pale na nikamwambia mimi naweza kua nimekusaliti ila kwakua sikukuonyesha viashiria vyovyote basi ni ngumu sana kunihisi japo kwa wewe ulibadilika sana na sikuchoka kukusihi tuyamalize (apa ilikua kama utani iv uku tunacheka) si nikamchomekea kwa kumwambia kama utakua umenisaliti nitajua maana anajua fika kwamba mimi bado namtambua kama Virgin so sitegemei "kukuta mlango uko wazi" nikimaanisha atakua Bado yupo kama nilivyo mwacha..

Na kumwambia kama kweli alifanya ivyo basi atakua kaniumiza sana maana tayari nitajua kutokana na hali niliyo mwacha nayo dah hii kweli niseme ni kitu ambacho naomba nisikikikute maana nikikuta ameshapitiwa ni automatically nitajua na bora ata asinge kua bikra maana ata kama angekua kacheza rafu nisinge jua na nisinge waza swala la yeye kunisaliti saaaana coz ata kama alionyesha dalili kama ana mtu anae mpa jeuri ila kwa hali hii ya yeye kutomkuta Bikra aise wakati nilimwacha bikra inaniwazisha sana.

Mwanzo nilimwambia ukija naomba tukutane tena kimwili si akaniambia ana tatizo sijui la nini kwenye kizazi amekutwa na Uvimbe nika mwambia mbona hukuniambia unaumwa na una tatizo kubwa ivyo?? na kwanini uniambie ivyo baada ya mimi kuomba Game? akazunguka weee mwishowe akakiri kuwa kosa ni lake nimsamehe ila nisubirie mpaka mwezi wa nne kwani ndio ataenda kufanya last checkup kwani kwa sasa yupo kwenye Dozi. nikamwambia sina haraka wewe mfungo utaisha na Tutakutana japo yeye alifikiri nna haraka sana akaanza kunizungusha zungusha. ata iyo kukutana yenyewe kaiwekea mwishoni mwa mwez wa nne mi nikawambia sawaa kwani shida iko wapi.

Tulisisitizia sana swala la Ukweli kwamba ni bora siku zote mtu akawa tayari kupokea ukweli wowote no matter what uo ndio ukweli na niliingizia hii topic nione kama angeniambia chochote kuhusu usaliti maaana sio kwa kuni treat rafu vile..

Akaniuliza kwani wewe kinacho kuumiza hasa ni nini ukikuta hali sio sawa na ulivyo tegemea? (yani sio bikra) nikaonyesha kama kusononeka yani mwanaume nangojeshwa weee alafu anakuja kupita mtu mwingine kizembe nikamjibu hivi

Maumivu yake ni makali zaidi ya anavyo fikiria yani ni bora usinge kua Bikra (imagin mtu unampenda umemkuta bikra na kukubali kunsubiria alafu ukute haipo) na nikijua aise sielewi itakuje kwani

Kwanza atakua kanisaliti wazi wazi akijua au kutokujua kwamba nitajua

Pili kafanya vile bila Kinga maana kama amelala na mwanaume mwingine kwa ile hali yake ni lazima apige kavu uli kusawazisha ile Bikra yake kwani kwa Kinga asinge weza Kupita.

Hapa wakati nazunguza nae nilifanya kumkazia sura na nilikua nafanya kama kumuuliza swali aise alibadilika ghafla akawa mpole na alianza kushikwa na kigugumiz flan iv cha mbali hii kitu ilinistua sana nikahisi apa tayari keshaliwa

(DAH VUTA PICHA YANI..)

1. UMESALITIWA
2. BILA KINGA
3. BIKRA IMEENDA
4. NA UNAJUA
5. NA NI MTU ULIE KUA NA MALENGO NAE)[/b]

Mwanaume apa ungefanyaje?

Nasubiria Mfungo uishe maana tumeplan tumeet tena i mean tukutane kimwili sasa apa sijui nikikuta sio bikra tena nimfanyeje..
 
Hii awamu ya tano ni kuunga mkono jitihada za muheshimiwa rais na sio ku fall in love utaumia
 
Pambana, nilichogundua wanaoongoza kutokuwa nazo ni hawa hawa dada zetu wa uswazi ila hebu badili upepo cheki na wakishua [emoji23][emoji23] utanishkuru badaye
Wee hao ushuani ndio wabaya hupati kitu kuzipata ni bahati tu maana hazitabiriki
 
Back
Top Bottom