cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,772
- 5,309
Ehe tuanze kuhesabu segment ya kwanza?Ipo kwenye segment tofauti tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Ehe tuanze kuhesabu segment ya kwanza?Ipo kwenye segment tofauti tofauti
Jamaa hakuna kitu kichwaniWe jamaa ujue unachekesha.
Achilia mbali swala la kama bikra bado ipo au haipo, we nani kakuambia huo mwisho wa mwezi utapewa mzigo? We unaona kuna dalili kabisa ya huyo demu kukuvulia tena nguo? Huyo demu hakyamungu tupinge.. kama utakuja kumla tena niite mi mbwa!
Kwa kifupi, huyo mwanamke ameshakuzidi umri kwenye maswala ya mapenzi. Yaani kashakua mjanja sio yule uliekua unamzingua enzi hizo. Kashakutana na wakubwa zako na wameshampa kiburi. Hapo alikuja tu kama kukuchora aone mtazamo wako uko vipi, na ungekua mjanja siku hiyo alipokuja ulikua na uwezo wa kumla sema ujanja huo huna na yeye ameshalijua hilo, ndio maana akaja na stori mbuzi za kukuzuga. Inawezekana kabisa alipotoka hapo kwako alirudi zake kwa jamaa kuliwa huku wewe ukiendelea kuwaza kama bikra ipo au laa.
We angalia ustaarabu mwingine mkuu.
Nimeishia pale uliposhindwa kuvunja bikra! Nadhan yalioendelea huko mbele itakua ni uzembe wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mkuu wanaume wengi kwenye suala la kuvunja bikira huwa tunapambana hadi tunachoka then tunaairisha shughuli hadi siku nyingine kama jamaa?Wanaume wengi tuna hulka ya kujifanya wajuaji kwenye Hili swala wakati ni tofauti na Uhalisia wake wengi ni Maneno Mengi tu mdomoni Bikra haitolewi kama kamasi
Tumia kila mbinu ujue ukweli mana wanawake ni wadhaifu sana usiendelee kupoteza muda kupewa tunda mwezi wa nne mwishoni.
Ikibidi mchomekee swala la kiapo cha bibilia/quran kuwa nani kati yenu kacheat na umwambie kuwa hakuna mkamilifu ongea tu ukweli nitakusamehe.
Ukisubiri mwezi wa nne atakupa tarehe nyingine ili tu usijue ukweli.
Ukishajua ukweli angalia response yake kama anakiri alifanya kwa bahati mbaya na anakupenda msamehe coz unaweza kumkataa kisa hana bikra alafu ukaoa asiye na bikra.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ujue unachekesha.
Achilia mbali swala la kama bikra bado ipo au haipo, we nani kakuambia huo mwisho wa mwezi utapewa mzigo? We unaona kuna dalili kabisa ya huyo demu kukuvulia tena nguo? Huyo demu hakyamungu tupinge.. kama utakuja kumla tena niite mi mbwa!
Kwa kifupi, huyo mwanamke ameshakuzidi umri kwenye maswala ya mapenzi. Yaani kashakua mjanja sio yule uliekua unamzingua enzi hizo. Kashakutana na wakubwa zako na wameshampa kiburi. Hapo alikuja tu kama kukuchora aone mtazamo wako uko vipi, na ungekua mjanja siku hiyo alipokuja ulikua na uwezo wa kumla sema ujanja huo huna na yeye ameshalijua hilo, ndio maana akaja na stori mbuzi za kukuzuga. Inawezekana kabisa alipotoka hapo kwako alirudi zake kwa jamaa kuliwa huku wewe ukiendelea kuwaza kama bikra ipo au laa.
We angalia ustaarabu mwingine mkuu.
We hujanielewa mimi nimesema tutakaa tuzungumze kuhusu ilo ndio nikasema kwenye kuipokea ile hali tu maana there is no way out ni lazima itajulikana kama ni kweli yaliyo tokea yametokea tayariLabda kosa ni kama lako tu la kutokukutaarifu kuwa alishiriki kimwili na mtu mwingine mkiwa kwenye kiapo kisicho rasmi. Tofauti na hapo huna hoja ya msingi,mwili ni wake na maamuzi ya bikira yake anayo yeye. Wewe una umaalum gani uonjeshwe wewe,wasionje wengine?Wewe umsaliti,yeye akutunzie? huo ni ubinafsi wa hali ya juu.
Kwa taarifa yako , Huyo mwanamke atakuja kukwambia alienda kufanyiwa operation (Baada ya last checkup), wakamkoroga na wakatoa bikra.
Ni uongo wa kitoto ila ujue ndio unachokuja kuambiwa, Brace yourself ..
Sent using Jamii Forums mobile app
apo kwenye Bila ndomu apo ndio panauma aiseee ila......mh kunizingua anizingue kuliwa aliwee haha siachi naweka napita ivi
Wewe ulimla kavu ukashindwa kumaliza , unataka anaemalizia avae ndomu ? who are you ? Mwalimu mkuu alafu anaemalizia mwalimu wa kawaida ?, we kama unampenda endelea nae kakutana na wazee wa kuzivunja kiroho mbaya, nakumbuka wakati nasoma kuna jamaa tulikuwa tunamwita mbakaji yan yeye mwanamke akienda gheto kwake hata kama yupo kwene siku zake atapigwa pipe tu hata iweje.
Usije ukajinyonga wala kumlaumu mtoto wa watu alikuwa na nyege angefanyaje ?? na wewe ulimwonyesha huwezi ?
Nakufundisha kitu ukikamata mwanamke una shida ya kuwepo nae mpige pipe kisawasawa usimwonee huruma wanajifanyaga wanapenda wanaopenda huruma kumbe ni ze opozite..UKILETA ZA KIBISHOO UNAKWENDA NA MAJI NA NDIO KILICHOTOKEA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hutoweza kuitoa kama muhusika hajatulia unaweza ukapigwa teke za PumbuKwa hiyo mkuu wanaume wengi kwenye suala la kuvunja bikira huwa tunapambana hadi tunachoka then tunaairisha shughuli hadi siku nyingine kama jamaa?
achilia mbali ayo mayowe ya humo ndani utafikiri unauwa mtuWith no any reason hanipendi sawa nimekubali nitatafuta mwingine sasa hapo kuna utoto gani?Demu hata mahari hujamtolea halafu unasema umechapiwa. Huyo kagongwa na watu ambao anawapenda Zaidi yako ndio maana alikuwa anakupotezea. Na huo ujinga uliomwambia eti nikikuingilia nitajua hapo ndio umaharibu utakuja kupewa mbunye tena.
Halafu huyo demu hakupendi achana nae songa mbele. Mapenzi hayalazimishwi kama mtu anakupenda wala hutumii nguvu nyingi kupewa tunda au kuonyeshwa hisia zake kwako. Unadanganywa unaingia king
UTOTO BWANA