Dah! unaeza ubadilishe mawazo umuoe matron!

unaanzaje kuchagua matron anakuzidi shape na ukute na sura kamzidi.
Huyu bibi harusi kabugi yani yeye flat screen akamchagua matron mwenye jishape lake na huo mtindo wake sasa watu watakuwa wanamkodolea macho matron. Kamwe mdada ukiwa na shughuli ka hii bora umchague matron mubovu tu hata akipakwa makeup indunde
 
Duuuh
 
Ubaya huo...
 
Hivi ni lazima huyo matron awepo?

Sasa mtu akiombwa kuwa matron tu atajua huyo aliemuomba kashamthaminisha below yeye kwa uzuri. Kazi ipo
Matron ni lazima kuwa naye mkuu, sasa matron akikufunika ni shiida kwa kweli lazima uchague mubovu ili umfunike
 
Back
Top Bottom