Dah! unaeza ubadilishe mawazo umuoe matron!

Dah! unaeza ubadilishe mawazo umuoe matron!

Samahani 'mods' naombeni muifute hii thread plz
 
Huyu matron hana adabu huwezi kuwa matroni harafu ukavaa kiajabu namna hiyo.bibi harusi hana wa kumlaumu ajilaumu Mwenyewe

Kama huyu ndiye mshauri wao sidhani kama wakiwa na shida kwenye ndoa watashauriwa vizuri.

Huyu matron hana adabu huwezi kuwa matroni harafu ukavaa kiajabu namba hiyo
Hahaha dah mkuu kwa iyo mwenye tatzo ni matron
 
Back
Top Bottom