Shule ya msingi miaka hiyo nimekataliwa kuanza darasa la kwanza kwasababu mkono wangu nikiukunja kwa kuuzungusha kichwani vidole havigusi sikio la upande wa pili[emoji23] [emoji23]
Ni umri nilikuwa bado mdogo (miaka mitano) tatizo nilikuwa mtundu mno nikibaki nyumbani naharibu sana vitu hasa radio.Hahahah.
Ulikuwa mfupi sana basi mkuu. Hivi ni kweli ukiwa na miaka 7 kuna uwezekano wa kugusa sikio la pili mkuu...?
Tafuta kwenye kitabu maandishi hayaMkuu wacha kabisa! Nilikua naimba (sio kusoma) kama kasuku; ukiulizwa onyesha ilipoandikwa "kikombe chake ni kizuri" ndio inakua patashika...😀
Them good old days....
.comHuu ulikua ni ujinga, haya mambo ni yakumfundisha mtoto nyumbani kabla ya kuanza shule.
Ni umri nilikuwa bado mdogo (miaka mitano) tatizo nilikuwa mtundu mno nikibaki nyumbani naharibu sana vitu hasa radio.
Tafuta kwenye kitabu maandishi haya
...Roza amenyamaza tu.....
Hii sehemu ilinifanya nirudi J1 kujs kuiomes tuition
Nilishindwa kabisa kusoma sehemu, nilikuwa nasoma:-
Roza ananyama za tu...
Kudadeki
RIP My Mwl, my Bibi, Mwalimu Pili. (Madaraka Primary School)