Yalichangia uwezo wetu wa kufikiri uwe finyu sana, matokeo yake ndio tunayaona leo kuongozwa na "mawe", watu kutokupenda kukosolewa, mawazo yaishie kwenye kula tu, na sio kutengeneza ndege au tooth sticks.
Al maarufu kama Juma na Roza
new world orderSasa hivi mtoto anafika darasa la pili silabasi hairuhusu ajua hata.
-This is a book.
-This is a pencil.
-Hata kusema goodmorning hawajui. Hebu niambieni tunawapeleka wapi. Bila kujali chochote siasa ziwe za upinzani au za main party hazitusaidii. Na hii ni new world order inatekelezwa, siri za maisha zimefichwa kwa lugha ya kingereza na pia hivyo vitabu vimefichwa pia, halafu bado wanawanyima haki ya kukijua kiingereza. Kamwe mwafrika hatokombolewa na elimu ya darasani. Bidii ya kutafuta ukweli ndio itamweka huru kupitia siri za maisha zilizofichwa kwa kiingereza kwenye maandiko ya siri.
Mwafrika mwenzangu N.W.O inatuangamiza. AMKENI NYINYI!!
Yalichangia uwezo wetu wa kufikiri uwe finyu sana, matokeo yake ndio tunayaona leo kuongozwa na "mawe", watu kutokupenda kukosolewa, mawazo yaishie kwenye kula tu, na sio kutengeneza ndege au tooth sticks.
Na Rushwa ilikuwa haijazaliwa........Aisee la sivyo huanzishwi darasa la kwanza. Hahah.
Shule ya msingi miaka hiyo nimekataliwa kuanza darasa la kwanza kwasababu mkono wangu nikiukunja kwa kuuzungusha kichwani vidole havigusi sikio la upande wa pili[emoji23] [emoji23]Hahahah. Umekumbuka wapi mkuu...?
Mkuu wacha kabisa! Nilikua naimba (sio kusoma) kama kasuku; ukiulizwa onyesha ilipoandikwa "kikombe chake ni kizuri" ndio inakua patashika...😀Al maarufu kama Juma na Roza