Dah!!!...Obama kweli kazua mambo...muangalieni huyu naniliuu!!!!!

It's important to the people who commented on it, just because you think not of it, does not make it so...that is part of having an open mind.
 
Hahahahaha, be different!

images
 
...'Bama ana kazi nzito katika uchaguzi huu ujao. Opinion polls zinaonyesha kwamba uchaguzi huu ni utakuwa wa vuta nikuvute. Kama latino na weusi watashiriki kwa idadi kubwa katika upigaji kura basi anaweza kabisa kuibuka tena kidedea...
 
Du na kampeni zilivyomkalia kooni ataona cha mtemakuni!!! Ni bora angekaa kimya na masuala ya Gays aseme yatafanyiwa kazi awamu yake ya pili ya uongozi!!! Kuna wamarekani wengi not happy with his move to recognize Gayism!!1
 
He he he hii ni kazi Right wings. Wanaogopa ku-attach hadharani, sasa wanatumia black wenye njaa ili kufikisha ujumbe. Mwaka huu wamebanwa hasa, yaani Romney Kampeni inalala ikiomba kuwa Jobs reports itoke mbaya teh teh teh. Obama anamuweka kwenye Target tu kwa sasa ana cheer jobs report ila ikifika August na namba ikaanza kwenye on Obamas fever wataanza kulialia kuwa namba zinachakachuliwa.

It is easy to defeat an incumbent, but if the Incumbent uses well his bully pulpit it is very difficult. Ndiyo maana Republicans makini wenye nia hasa ya kuingia WH mwaka huu wamejiweka pembeni. At last kama kila kitu kitakuwa kimeshindikana, Iran attack will resolve the November 6 election. Wamarekani ni waoga sana kubadili rais katikati ya crisis hasa vita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom