Enjoy bro mapenzi matamu sana. Tuliahidiana tusishike simu za wapenzi, we ulienda kushika ya nini?
AnashangazaKujiamini unaamaana kukubali kuwa na mwanamke mwenye wanaume 10 ,fafanua kdg au ndo kujiamini kwamba wewe ni bora kuliko hao 10
Basi tunatofautiana.
Japo siishi na mwanamke lkn ikitokea lazima baada ya muda flani nipitie kuchunguz bila yeye kufahamu.
Kuna kulea watoto damu isiyo yako ndug, pia kumbuk Kuna magonjwa hatar.
Aisee hapana mwanamke mkorofi NO.!
ila mkuu ndio awe na mabwana 10 kweli anajua kutumia kiungo chake cha mwili hongera kwake
Hahahaha pole jamaa iliwahi nikuta kama hivyo.
Nilikua nina demu mmoja wa kichaga ana bonge chura halafu alinipenda mwenyewe maana ndiye aliyenitongoza kupitia best ake mapwnzi yalinoga mpaka kwa wana.Nilitambulishwa kwa watu wengi sana wengine hasa wa kiume kua ndo jamaa ake manina zake kumbe washikaji wananichora wanamtafuna sana mpaka mtaro.Siku moja tulikwaruzana ikapelekea simu yake kupasuka kioo baada ya kuanguka na ishu ilikua mimi nataka kwenda kucheki UEFA na yeye hataki nitoke usiku baada ya kuona simu imeanguka imepasuka kioo akaanza kulia simjali nathamini mpira bla bla kibao basi nikamuomba radhi.
Asubuhi nikachukua simu yake nikaenda kumbadilishia kioo pale k/koo aisee niliyokutana navyo kwenye simu balaa alitembea mpaka na shemeji yake bwana wa best yaje mkubwa kuliko wote,q tangu hiyo siku sijawahi muamini mwanamke mpaka leo zaidi ya mama angu mzazi..ndani ya wiki tu alitobwa na washikaji si chini ya nane na picha za hasara juu MARRY CHUWA NAJUA UKO HUMU ILA SITAKUSAHAU HAHAHAHHAHHAHHA.
Wanawake achana nao mkuu..!! Yani ukiambiwa lolote demu wako either uamue kuufanyia kazi Ukweli au Uupotezee Ukweli lakini story yoyote ukiambiwa na wana kuhusu demu wako ni Ukwelii.. Unafiki upo sana tu
Ningekuwa Mimi ndiye wewe ningempotezea tu Ila ningempiga block everywhereUpdates
Wakuu huyu binti kanicheki leo,ananiambia ananimisi mpaka anahisi machozi
Nataka nimuulize "kuliko fulani"
jina la moja ya watu nloona kwenye sms alowaambia anawapenda sana kimapenzi na akasisitiza
Je niache tu au?
Ndo ujinga wa wanawake wengi. ..hata za uchi anatuma
hahahaua kilicho nikuta baadya kukakagua simu ya mpenzi wangu na wiki ya pili sijalala hapaUsishike simu ya “mpenzi” wako ukitoka naye kitaa wanakuchora kwa sana tu. Unaogopa kujua ukweli kwamba kuna njemba nyingine 10 nazo zinapewa utamu? Utabambikiwa mtoto si wako. Akili mkichwa!!!
Mtoto mzuriDuh pole sana
Kuanzia siku niliyompelekea simu yake mwezi october hatukuwahi onana tena zaidi ya sms tu na sikumwambia ila nilipunguza mawasiliano polepole hadi wiki ilopita ndio yaliisha kabisa na hatujawasiliana hadi leo.Duuhh OMG
Piga chini huyoooooooo
Mtoto mzuri
Namimi naomba unibabue moyo please
Nina hamu ya kutendwa
Simu ya mpenzi wangu aisee siwezi kuacha kushika na yangu atashika tuUsishike simu ya “mpenzi” wako ukitoka naye kitaa wanakuchora kwa sana tu. Unaogopa kujua ukweli kwamba kuna njemba nyingine 10 nazo zinapewa utamu? Utabambikiwa mtoto si wako. Akili mkichwa!!!
hahahaua kilicho nikuta baadya kukakagua simu ya mpenzi wangu na wiki ya pili sijalala hapa
una hamu ya kubabuliwa moyo!!!,,,,,,
una matatizo ww sio bure nenda kaombeewe
Very well huo ndio u_ gentleman usimpe tension mtu Kama huyo utajishushaKuanzia siku niliyompelekea simu yake mwezi october hatukuwahi onana tena zaidi ya sms tu na sikumwambia ila nilipunguza mawasiliano polepole hadi wiki ilopita ndio yaliisha kabisa na hatujawasiliana hadi leo.
Ingawa amekua akiuliza kwanini nimekua hivi ila sijawahi mwambia.
nibabue tu mamii maisha yenyewe haya ndio yameshakuwa hivi nifanyaje sasa ... Kuliko kuukosa utamu sibora Ni babuliwe moyo ..baada ya muda nitavumilia maumivu yataisha na maisha yataendelea
jinsi gani mapenzi yamekuchanganya Hadi unaongea utopolo
Ajali ya kujitakia lknYana zingua haya eleweki
Bora tu twende nayo hivyo hivyo yanavyotaka yanyewe ... Leo tuko pamoja tunapeana faraja ikitokea tukaachana sawa tutahesabu kuwa Ni ajali kazini