Dah! Nimepewa cha mbavu

Dah! Nimepewa cha mbavu

we una fall category gani


!
Mi Domo Mtelezo ! Yaani :msela:

!
Kuomba namba ya simu system za kizamani ! Ni sawa na kuandika Barua !

Kwenye simu mnakuwaga Huru sana nyinyi !

Kitu live live kama tunafanya interview hivi ! :msela:

Maisha mtelezo !
:msela:
 
Umeona eh? Yaani karingiwa kidogo tu anachachawa...

Hiyo ni missed opportunity. Jamaa kachemka, anaomba namba ya simu yanini ilihali mtoto anataka auone ujasiri wake? Hawa ndo wale madomozege wanjificha nyuma ya keypad za simu na kutuma sms. Afadhal alivyonyimwa hiyo namba anadhalilisha wanaume, zisingekuwa simu/fasibuku angekuwa mseja?
 
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima nitumie mbinugani wadau
Ikulu ya Serikali ya Tanganyika itajengwa Tanga!
 
ungeomba email address.. ujue namba yaweza kuwa ngumu ila email unapewa tu fasta.

Sitoagi namba means nikikupa utaniharibia mambo yangu na mtu wangu. Kwa sisi tuliobobea kwenye malove davi tunaomba urafiki wa kawaida ili uwekwe akiba.
 
I thought u would be on your way to the Bar to fetch a wife,instead ur making a thread here,what a sheer waste of time....
 
I can imagine the conversation

Jamaa :: Dada habari
Dada :: Nzuri!
Jamaa :: Naomba namba yako ya simu.
Dada :: Sitoagi namba yangu ya simu.
Jamaa :: Duh, haya kwaheri!!!

Kijana jifunze kutengeneza some bond before you go for it. Hakuna mwanamke mgumu duniani hapa, ni wewe tu ndio mgumu. Show her respect but don't fear her...

Kijana ukiangaliwa kwenye macho unatazama pembeni au kuangalia chini, hapo unakuwa tayari umefeli.
 
Mkuu moja kwa moja kwenye namba ya simu maandalizi hakuna?
 
!
Mi Domo Mtelezo ! Yaani :msela:

!
Kuomba namba ya simu system za kizamani ! Ni sawa na kuandika Barua !

Kwenye simu mnakuwaga Huru sana nyinyi !

Kitu live live kama tunafanya interview hivi ! :msela:

Maisha mtelezo !
:msela:

lloh kweli tumetofautiana mkuu
 
I can imagine the conversation

Jamaa :: Dada habari
Dada :: Nzuri!
Jamaa :: Naomba namba yako ya simu.
Dada :: Sitoagi namba yangu ya simu.
Jamaa :: Duh, haya kwaheri!!!

Kijana jifunze kutengeneza some bond before you go for it. Hakuna mwanamke mgumu duniani hapa, ni wewe tu ndio mgumu. Show her respect but don't fear her...

Kijana ukiangaliwa kwenye macho unatazama pembeni au kuangalia chini, hapo unakuwa tayari umefeli.
c

dah ila meshajifunza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom