Unahitaji kozi maalum ya Utongozi dogo.Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima
nitumie mbinugani wadau
Kesho mkate mtama,umuombe namba akiwa chini
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima
nitumie mbinugani wadau
Dah kweli we zege kushindwa kuchukua namba unalalamika inaelekea swaga zako sio
hahahaha tatizo huwa mna speed ya marathoni
gari huanza na gia namba 1, we umeanza na namba 3.. "usifakamie ukadhani maziwa zingine zanzi" - Roma
hebu nipe swaga zako mkuu
hebu nipe mbinu bi NENDI
hahahaha tatizo huwa mna speed ya marathoni
Una miaka mingap?...hizi bale.h.e za siku hizi zinasumbua sana!kwa hiyo umejitutumua mwenyewe ili tukufundishe kutongoza hapa! Hatushauri wazin.i.f.u hapa hebu kafanye hom works ulale, kesho shule!
Eti mtu baada ya salamu tu anaomba namba kweli dadangu?sikujitakia huku,ongea na mtu mfanye awe comfortable
hahahaha tatizo una mchecheto sana angalia hata jina langu umekosea lol
loh leo nnamajanga bas