Dah! Nimepewa cha mbavu

Dah! Nimepewa cha mbavu

Aiseeeeeeh!!!!!!!!!

Vijana mnahitaji kukaa na wakubwa zenu kujifunza mengi.
 
mstahiki meya...mbona umeshindwa kutumia cheo chako umpate huyo binti mkuu...hizo zote mbwembwe tu mzigo lazima utaupata sema utachelewa tu netegemea baada ya kama mwezi mmoja uje na uzi mwingine ukisema ivii...nimempata japo alikataa kunipa namba.
 
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima

nitumie mbinugani wadau

Kuna kitu huwa anatoa, ila siyo namba ya simu. Ungemwambia akitoe hicho!
 
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima

nitumie mbinugani wadau
Sio kosa lako ni umri ndio uliokucost dogo
 
Wewe kweli mgeni katika medani hii ya kutongoza, ungekuwa mtaalamu yeye ndio angekuomba namba ya simu.
 
...nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana ......

sik nyingine usiseme naomba namba ya simu.... sema naoma namba yako ya "Mpesa" au"Tigo Pesa" basi atakupa kuanzia ya kwake hadi namba za majirani...
 
Dah, mnapenda mno kutongoza kwa pupa na kizamani! First, build friendship with her then move foward! Huwezi kutongoza ghafla ghafla tu mbinti anayejiheshimu atakushusha credit and you won't get the 'juicy red spot'!
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima

nitumie mbinugani wadau
 
!
Mi Domo Mtelezo ! Yaani :msela:

!
Kuomba namba ya simu system za kizamani ! Ni sawa na kuandika Barua !

Kwenye simu mnakuwaga Huru sana nyinyi !

Kitu live live kama tunafanya interview hivi ! :msela:

Maisha mtelezo !
:msela:

kweli maisha mtelezo
 
mstahiki meya...mbona umeshindwa kutumia cheo chako umpate huyo binti mkuu...hizo zote mbwembwe tu mzigo lazima utaupata sema utachelewa tu netegemea baada ya kama mwezi mmoja uje na uzi mwingine ukisema ivii...nimempata japo alikataa kunipa namba.

tegema hivyo wangu hapa nisha seti makombora yangu yan nakuja na ile sera ya Kikwete ARI MPYA,NGUVU MPYA NA KASI YA AJABU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom