Dah! Nimepewa cha mbavu

Dah! Nimepewa cha mbavu

shangaaa na wewe
alimuona anatokea dukani na yeye angeenda pale akajifanya hata mteja mpe ka offer kidogo then jifanye huna haraka hata ya kutaka kujua jina lake uone kama samaki hajaingia chambo

Hapo sasa m nlipoona hajui kutongoza ni aliposema ooh demu ananiangaliaga kama ananipenda vile watu wengi wanaosemaga hivi ni mazege
 
Hapo sasa m nlipoona hajui kutongoza ni aliposema ooh demu ananiangaliaga kama ananipenda vile watu wengi wanaosemaga hivi ni mazege

hahahahaa wote tungekuwa na mtizamo huo yangekuwa majanga plus plus
 
Nimejiandaa kukutana na cha mbavu kumbe mkuu kapewa cha shavu tu! Skia wewe.....bring up your game!
 
inaelekea braza umezoea Kitonga, come on bhana mkazie...hakuna demu anayependa aonekane mteremko..anakupima huyo.
 
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima

nitumie mbinugani wadau

Pole mkuu. Huwa natoa huduma ya kutongezea watu wapenzi wanaowataka..ni faranga yako tu mkuu. Ulimwengu wa sasa ukiwa na hela kila kitu kinawezekana,unalipa wataalam wanakufanyia kazi,

Kua domo zege kusikukatishe tamaa,funguka watu wakufanyie kazi ukajilie mzigo.
 
Tatizo la overconfidence, kwa kuwa alikuwa anakuangalia sana pindi mkikutana ukajua tayari keshakupenda we unashika mkono tu unabeba! Namba haiombwi hivi hivi yanaanza maneno matam kwanza..

We kesho mfuate kistaarabu, jenga urafiki nae kwanza.. Baadae kutakuwa na umuhimu wa kuwasiliana.. Ukimuomba namba atakupatia kwa moyo mmoja. Ndugu umezoea wa kimboka nin! Mwanamke shurt awe na staha bhana, sio kutoa namba hivyo.
 
Yani kakujibu uzuri huyo,pia hawasemagi naked statement hivyo yani naomba namba zako????ulitakiwa kumchachafya mpah angetoa tena pacna kumuomba straight as u did...

mkuu tatzo namuoneaga noma ya nikimuona najishtukia na akiniona full kunitolea macho yan km ananichora
 
Kaka neno la pili tu baada ya salam unaomba namba?ungeongea nae story kidogo ili ajiskie comfortable

tatzo kaka sina mazoea nae yan hyo kumsimamisha kiroho kilibidunda...yan kitu nlicho kuwa nawazia ni namba tu
 
Hapo sasa m nlipoona hajui kutongoza ni aliposema ooh demu ananiangaliaga kama ananipenda vile watu wengi wanaosemaga hivi ni mazege

kwahyo mwanangu mwenyewe unani nanga ama vipi
 
Kazana. Kijana mfate tena mpe Hi tu then story zingine zingine then na siku nyingine muulize kama amatumia mitandao ya kijamii eg.fb Twitter .nk. ole wake aseme ndio na akisema ndio bhaaaasi huko utapata namba tu
Na kingine endelea kumfatilia kwa njia ya urafiki then utapata namba tu ukiona demu kama huyo bhasi hajawa na elimu Safi.
Pole sana ndugu.
 
shukran mkuu nimekupata vzuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom