Dah! Nimepewa cha mbavu

Dah! Nimepewa cha mbavu

Dah, mnapenda mno kutongoza kwa pupa na kizamani! First, build friendship with her then move foward! Huwezi kutongoza ghafla ghafla tu mbinti anayejiheshimu atakushusha credit and you won't get the 'juicy red spot'!

senkyuu bro
 
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima

nitumie mbinugani wadau

Kwani wewe ulipenda namba yake ya simu au ulimpenda yeye mwenyewe?
 
hahahaha, mpwa unanichokoza; tinna cute kasema hajatongozwa siku hamaanishi kwamba anataka kutongozwa! mi namwamini bana tinna wangu hawezi kunisaliti, hao madomo zege atawaenjoy na kuwacheka tu!

Mwambie huyo,,,, me nahisi Elli anatuonea wivu sana na hatuachani hubby miaka mia 800000000.....
Dia hii avatar yako umekua handsome gafla!!!!
 
Last edited by a moderator:
Domo zege haongei ye ni cash flow tu!!!
We utakua walewale wagumu

Aha ha ha mi zege kama la flyover kias nashindwa kujiamin kuproces cash flow lakin umenifumbua ngoja niangalie financial statement yangu ya robo mwaka...
 
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima

nitumie mbinugani wadau
uko rafu sana na speeeeeed
 
Mwambie huyo,,,, me nahisi Elli anatuonea wivu sana na hatuachani hubby miaka mia 800000000.....
Dia hii avatar yako umekua handsome gafla!!!!

Hihihihiii, najua hilo pozi langu ndiyo huwa linakuchanganya, nilivoona wewe umeweka hiyo yenye top napendaga nikasema na mimi nichange dia!
 
Hahahahaha!!!!! umenifurahisha sana dia,,, pokea kiss la shingoni mwaaaaa mwaaaaaa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom