Dah mwisho wa Netnaija

Dah so sad aiseeee
 
Telegram naona kama ipo slow kwenye kudownload
 
Hapo wameogopa kusuized..wazungu wanathamini sana Copyright wamepita na domain nyingi sana kama Yule mwamba wa live football(Hesgoal) wanakufungia tu

Kinachotokea hapa ni makampuni ya usambazaji kama Amazon,Sony,Hata Marvel wanakuripoti domain yako inafungwa milele...Disclaimer,Copyright vitu muhimu sana yote kwa yote jamaa walikua wanapiga pesa kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…