Dah mheshimiwa Komba!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dah mheshimiwa Komba!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Leornado, Feb 17, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwenye posho hulali lakini hoja za msinngi ngriiii

  [​IMG]
   
 2. Double X

  Double X Senior Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  YUPO makini kweli hapo anawawakilisha wananchi wa mbinga,shame!!!!!
   
 3. C

  CottonEyeJoe JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Atakua anatafakarii.....
   
 4. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ilitakiwa tupate picha wakati amezinduka kutoka huko alikokuwa maana utamjua tu anaweweseka. Huenda hapo alipo anatoka kulimishwa ....
   
 5. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,717
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  au ameboreka mpaka basi......

  si unajua bunge la kumi chini ya maza ni vijembe na mipasho na hiyo kwake ni fani...sasa pengine aliyekuwa anaghani mipasho hakumvutia si ajabu kwa kukosa kipaji...mzee akaona isiwe shida..akaamua kuuchapa usingizi....:laugh:
   
 6. M

  Mwera JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio tatizo la kuchagua mijitu ya ovyo kazi kulala ovyo.
   
 7. S

  SUWI JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Alishasema alikuwa amezama ktk maombi kuombea mafisadi wazidi kuifisadi Tanzania, na wananchi waendelee kulala usingizi wa fofofofofofofofof!!!
   
 8. T

  Tata JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Tatizo huo mzigo aliouwekea mikono hapo mbele yake. Waswahili wanauita "kiriba tumbo" kama sikosei ukipenda kitambi
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Na huo unene unategemea nini? Dk Ndodi anawatamani sana watu kama hawa
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hapo na kaushuzi juu
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ....Na hawa ndio wanaopitisha hoja za msingi bungeni wakiwa usingizini mwishowe wanaingiza nchi kwenye matatizo ya Dowan's, Richmond, Meremeta, Kagoda etc etc etc...............Jitu limevimbiana utadhani kuna pump inajaza upepo..Walaaaniwe kabisa!
   
 12. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  182036_183901508312814_100000788988904_370933_7851689_n.jpg

  Shame on him, Shame on us!
   
 13. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  IMG00515.jpg

  Akitokea Bungeni
   
 14. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  presha ilikuwa inapandaaaaaa, presha inashukaaaaa....na kamustachi chake....songea kuna kazi
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  kaweka screen saver kidogo tuu!
  mtu mzima hasinzii bana!!
   
 16. Buseresere

  Buseresere Member

  #16
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kwasababu mbunge huwakilisha wananchi wa jimboni kwake,basi wananchi wa mbinga wanasumbuliwa na usinzi.selikali iunde tume kuchunguza chanzo
   
 17. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hahahahah..... hawa ndo wabunge wetu wanaotuwakilisha......:clap2: Ama kweli anatafakari hoja.....subiri aamke utamsikia....:clap2:
   
 18. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  CCM...CCM... aah aah Chama cha mapinduzi CCM namba 1............tieni tieni tieni kwa moyo mmojaaa..... hapa anaota ndoto za kutunga nyimbo za ujinga tu ili avute mafungu
   
 19. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  As you all know kuna kazi za mchana na za usiku kwa wale waliooa. Kazi ya usiku ikifanywa baada saa 8 usiku na uamke muda wa kawaida lazima mchana usingizi utakupitia.

  Msimlaumi ila arekebishe ratiba yake mambo ya say 17/2 yafanyike ndani ya 17/2 na siyo asubuhi ya kuamkia 18/2 akifanya hivyo hatalala mchana.
   
 20. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  makinda akiuliza wangapi wanasema dowans ilipwe? anashtuka akikuta wengine wamenyosha mikono na ananyoosha bila kujua swali limeulizwaje
   
Loading...